Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angola with more oil than Uganda sahii wako wapi??
Nchi zote za Africa with oil ni takataka.
Pesa yote itaenda Europe na US.
Rich politicians wa benefit tooo.
Minerals hapa Africa ni laaaana.
Haisaidi kabisa.
Mybe the year 2150
 
Angola with more oil than Uganda sahii wako wapi??
Nchi zote za Africa with oil ni takataka.
Pesa yote itaenda Europe na US.
Rich politicians wa benefit tooo.
Minerals hapa Africa ni laaaana.
Haisaidi kabisa.
Mybe the year 2150
Sasa unataka kufananisha corruption ya Angola na Uganda?
 
Hakutakuwa na comeback ya hii , milele
Hawa wanusa gundi tukiwapiga gape litakuwa ni triple, yn kwa ss hii GDP yetu ya $150B ikishakuwa published plus na hii miradi ikishaanza ku operate, tutagonga mpaka $300B in the near future wakati wao watakuwa wamerudi nyuma kwenye $75b ambayo ndiyo uhalisia wa GDP yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…