Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha serikali ya magufoo haina pesa za kujenga ofisi.
 
Wenzenu hatufichi vdonda viongoz wakikosea tunamind na kumind kwetu tunashukuru mungu katupa magu saa hizi mkaze mwendo tupo speed ya jet
 
Wewe lete facts, usilete udaku, mnademokrasia gani ninyi polisi wanawapiga risasi kama wanawinda wanyama kule Tsavo, report ya human right watch hiyo hapo, polisi wana rape wakenya wenzao, ninyi ni zaidi ya wanyama wa porini, uamna ubinadamu kabisaaa
Waswahili twasema.. Ukikaa karibu na waridi utanukia.... Sasa nduguzo wakaa karibu na Wanyama pori... Si haba!
 
usitungumbushe majonzi ya kifo cha kinyama cha afisa wa IEBC Chris msando.

siasa zenyu zina umafia sana,kwa hilo hata tanzania mmetuzidi.hongereni.

tukiamua kuweka idadi ya watu waliouwawa nchini kenya kwa visa vya kisiasa,hii thread haitatosha.itabidi tuanzishe thread mpya.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
 
Weka babaa hapa sasa nimeamua ni kuchafuana, ukiweka naweka, ukicheka nacheka, ukilia nacheka. Twende kazi
 
 
kweli leo nimethibitisha wewe ni jobless...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achana nae mjinga huyo, huu ni uwanja wa facts, sio kuforwards posts za watu wengine, usijisumbue kumjibu, ameishiwa na facts ya kutete nchi inayosambaratika badala yake anaforwards za watu waliotoa maoni yao, usijisumbue kumjibu chizi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…