Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kweli ni famba. 🀣🀣🀣 hizo calvert ndio za kutamba nazo? How much does it cost to build one.? Tunajenga madaraja marefu Africa na mahandaki, unatutishia calvert.?
You call them mahandaki yet you talk about them night and day
 
Hamjaiga munatumia renders zao kudanganya watu ni yenu. Wewe zoea kubeba rungu, mambo ya interchange wachia civil engineers.
Kuna siku ushawahi kuona tumeweka render alafu tukajenga tofauti na render? Msifosi tufanane, fyi tutajenga interchange exactly na hiyo render ambayo I'm 100% sure hata hao Ghana hawajaitendea haki.
 
Hii interchange ni ya ghana..inatwa takoradi interchange

View: https://www.youtube.com/watch?v=yJ4PYzZa2_A
View attachment 3365110
Wewe mbunda takoradi interchange ipi wewe kima.? 🀣🀣🀣 takoradi interchange render yake hii hapa. πŸ‘‡πŸΎvs πŸ‘‡πŸΎπŸ€£πŸ€£ do they look the same.?
So now get to know that, huko ulikookota hiyo renda sio ya takoradi ni ya dodoma. Niliona post yako hawa mbunda walijichekesha. Oyyaa come again mcheke hii. mwaiofhawaii nairobae Nicxie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…