Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi hapa malls mpya within Dar.
1. Dar village mall (mikocheni) U/C
2.Ocean view mall (masaki) U/C
3.Kunduchi mall (kundichi) U/C
4.Morocco square mall (Morocco) opened this year.

Geza Ulole kwa mwaka huu hizo ndio malls za hapa mjini ninazozijua.
 
Umedanganya, mbona mnapenda kujiliwaza hivyo?.. Itawachukua miaka mingi kuifikia level ya Kenya kwa ujumla., masikini jeuri hawa🤣🤣.
 
🤣🤣 me nilikua nime teas tu ili mkenya abishe nimbararue. Any ways. Hiyo mall mbona inakaribia kuisha tu, Ipo masaki near yatch club. 👇🏾.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSDN9QJr/.

An upcoming Mall in Eldoret, kuongezea kwa zingine, more sleek and humongous.., Malls ni anasa Tanzania, Kenya kawaida sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Moh is Indian origin but Tanzanian nationality.
As well as Rishi Sunak former prime minister of UK Indian origin but English man in nationality.
Don't twist things.
Thanks for finally accepting that Moh is an Indian.
 
Likija suala la malls kwasasa sisi ndio leaders in this region. Dar iko na mall kubwa na za kisasa kuliko Naipori.
Ebu tuonyeshe hizo malls. I want us to comoare Dar top 10 malls with Nairobi’s top 10 malls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…