concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,485
Haya leta ya 2024/2025 tufanye comparisonGive the period ya hii data.., how many months., weka link I show u something., boss mbona unajiabisha hivi?🤣🤣🤣., ukweli is powerful, can't fight against it and win , unaona?..,
Yaani zile mapambio zenu;, "ni nini iko Nairobi na haipo Dar" narrative 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., compare magnitude and scope of coverage across the country.,Kweli una brag vimradi vya nyumba na uwanja wa mpira.? 🤣🤣🤣🤣
Kama ni miradi ya nyumba na sisi tunayo
Kama ni football stadium, sisi tunajenga viwanja viwili.
Hakafu uko hapa kutupigia kelele. 🤣🤣🤣 Dodoma alone iko na miradi mingi kushinda towns zote hapo kunyarenda including Mombasa city.
Jitahidi kuwa unasoma habari na kutembelea miradi. Achana emotionsAwamu ya 3 na ya 4 hataujafika ata robo na bajeti ya mwaka huu inaonesha wazi kabisa hamna chochote kikubwa kitakacho fanyika unless kuwe na mabadiliko kwenye budget ila kwa trend hii hatuwezi kutoboa
Jamaa anaendeshwa na chuki. Anaweka vitu kwa hisia.63% last 3 months report.
Acha na trivial issues. Watu tunajadili developmentYaani zile mapambio zenu;, "ni nini iko Nairobi na haipo Dar" narrative 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., compare magnitude and scope of coverage across the country.,
Lakini mpaka sasa estimates tu za recurrent expenditure zinawatupa nje ya mfumoWhen read in your parliament it will be published in the Citizen newspaper, and it will be live, then we will do a comparison analysis of all EAC budgets, revenue data etc, as it exposes your poverty na sioni any meaningful improvement.., tuko hapa and it's June., deluded baboons🤣🤣🤣🤣
Kama unajiona una guts twende ground sio empty talks. 🤣🤣🤣Yaani zile mapambio zenu;, "ni nini iko Nairobi na haipo Dar" narrative 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., compare magnitude and scope of coverage across the country.,
I’m telling you bro.Jamaa anaendeshwa na chuki. Anaweka vitu kwa hisia.
NB: Probably next year Mwanza - Isaka itaanza kubeba abiria
Kaka mtu mwenye njaa siyo mwenzako. Unajichosha bure.Lakini mpaka sasa estimates tu za recurrent expenditure zinawatupa nje ya mfumo
😅😅 Ndoto hizi sijui zitawaishia lini ,kama sisi tungekuwa,tunawaza kama nyinyi mpaka leo tusingekuwa na hata km ya sgr huu urasimu sijui economic viabilty sijui mazingira ndio vinawachelewesha nyinyi endeleni kumngojea mchina hapo tuoneMatumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,
Hawana cha kuonesha kaka, wanachoweza ni Cyber bullying and Cyber Harassment. Wanajijua kabisa nchi yao imekufa.Kama unajiona una guts twende ground sio empty talks. 🤣🤣🤣
1. Dom stadium 30k (international standards)
2.Msalato international airport. (Huwezi pata airport modern kuliko hii in the whole of kunya)
3. Dom outer ring road 112km
4. Dom inner ring road 50km
6. Dom government city
7. Housing projects (4 housing projects with over 5000 units)
Hizo zote zipo under construction. Chukua towns za kunya zenye miradi ya hii caliber. 🤣🤣🤣🤣🤣. Huwezi pata.
Ndio miaka miwili ya nyongeza majaribio ya mifumo tuu ni mwaka mmoja anyway tupo hapa pamoja utakuja kuniambiaSasa hapo mkuu utakua unakosea. Yani miezi mitatu iliyopita mradi ulikua 63% halafu unasema utaisha mwishoni mwa 2027.? 🤣🤣🤣🤣 🙌🏾🙌🏾🙌🏾.
Hizo hisia zako. Acha wataalam watimiza wajibu wao.Ndio miaka miwili ya nyongeza majaribio ya mifumo tuu ni mwaka mmoja anyway tupo hapa pamoja utakuja kuniambia
How?Why can't you fund your education sector with own source revenue na si kutegemea donations? Yani ka nchi kadogo kama kenya kanaspend mara 6 yenu kwenye education kisha mnajigamba 'tumenunua ndege kwa fedha zetu'. Ndo maana nchi imejaa school droupouts kuanzia rais
Kwasababu nimejua kwamba kusema alete mji mmoja mmoja kushindanisha with what we are doing in Dodoma hawezi. Nimemtaka achukue miradi za towns zote za hapo upumbavuni kwao tushindanishe na Dodoma alone. 🤣🤣🤣Hawana cha kuonesha kaka, wanachoweza ni Cyber bullying and Cyber Harassment. Wanajijua kabisa nchi yao imekufa.
Wacha sasa nikupe ufafanuzi ndio usilinganishe Kenya na Tanzania kiboya siku nyingine., Revenue ya counties ni autonomous, hesabu yao haingii kwa ile revenue ya national government, Kuna yale ushuru counties zina ruhusiwa ku collect na kuna ushuru zinaenda kwa national government kutoka kwa hizo counties haziguzwi na counties, kama ushuru ya ports, airports, etc, PAYEE, VAT, etc zinaenda kwa national govt, kwa mfano hesabu ya ushuru ya Mombasa county does not include ya port., so the kshs.58 Billion total counties revenue ni ile kiwango ya pesa county zinaruhusiwa kukusanya na kutumia zenyewe, hazipelekwi kwa hazina ya serikali kuu!., na bado zinatoa Kamasi ya eneo za Tanzania, na huo sio mkusanyiko wote wa revenue from a county kwa vile Kuna za national govt counties haziguzi., reason National revenue is approximately $28B! (Tshs.74trilion na zaidi!)., na ujue ile 58b ya counties haipo kwa hii hesabu.., Kenya sio Tanzania mwenzangu, kindly get financial literacy, and a basic lesson in economics.,🤣🤣 Fuata mwenyewe kwa link
Kalinganishe sasaRevenue Collection per County in Kenya - Financial Year 2023/2024
The data on the Own Source Revenue collection per county in Kenya for the financial year 2023/2024.blog.afro.co.ke
Mtaendelea kushangaa., mlianza na expressway tulipo leta renders, ikakamilika kwa haraka sana., mkanena Talanta pia haitajengwa , sasa mnasema eti SGR to Malaba ni ndoto, nakuhakikishia itakamilika kabla ya yenu.,😅😅 Ndoto hizi sijui zitawaishia lini ,kama sisi tungekuwa,tunawaza kama nyinyi mpaka leo tusingekuwa na hata km ya sgr huu urasimu sijui economic viabilty sijui mazingira ndio vinawachelewesha nyinyi endeleni kumngojea mchina hapo tuone
Blah blah. 🚮 🤣🤣🤣Wacha sasa nikupe ufafanuzi ndio usilinganishe Kenya na Tanzania kiboya siku nyingine., Revenue ya counties ni autonomous, hesabu yao haingii kwa ile revenue ya national government, Kuna yale ushuru counties zina ruhusiwa ku collect na kuna ushuru zinaenda kwa national government kutoka kwa hizo counties haziguzwi na counties, kama ushuru ya ports, airports, etc, PAYEE, VAT, etc zinaenda kwa national govt, kwa mfano hesabu ya ushuru ya Mombasa county does not include ya port., so the kshs.58 Billion total counties revenue ni ile kiwango ya pesa county zinaruhusiwa kukusanya na kutumia zenyewe, hazioelekwi kwa hazina ya serikali kuu!., na bado zinatoa Kamasi ya eneo za Tanzania, na huo sio mkusanyiko wote wa revenue from a county kwa vile Kuna za national govt counties haziguzi., reason National revenue is approximately $28B! (Tshs.74trilion na zaidi!)., na ujue ile 58b ya counties haipo kwa hii hesabu.., Kenya sio Tanzania mwenzangu, kindly get financial literacy, and a basic lesson in economics.,