Ushauri wa IMF siku zote ni Currency devalution.Mbona umeficha date ya hii taarifa?
Ndo tuboreshe sasa road au metro system maana population inazidi kuwa kubwa by 2028 atleast wawe wameanza li develop metro railHii si kweli.
JKNIA haiwekwi busy na shughuli za utawala.
Dar ni jiji la biashara.
Serikali imehama ila Dar foleni haiishi.
Biashara nyingi zinaanzia Dar Port
Metros zipo kwenye masterplan ya TRC.Ndo tuboreshe sasa road au metro system maana population inazidi kuwa kubwa by 2028 atleast wawe wameanza li develop metro rail
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuwaita hawa jamaa nyang’au😎😂Kenya wakishangilia baada ya kuiba ndege za EAC na kuzi-brand Kenya Airways.
Halafu wanafikiri tumesahau.
View attachment 3357144
Zanzibar airport inaenda kuipiku JNIA na si JKNIA! Huo ndio ukweli!Hii si kweli.
JKNIA haiwekwi busy na shughuli za utawala.
Dar ni jiji la biashara.
Serikali imehama ila Dar foleni haiishi.
Biashara nyingi zinaanzia Dar Port
Are you this lazy???Mbona umeficha date ya hii taarifa?
So, mtu akiwa dukani anauza basi tayari ni duka lake, wakenya bhn huu usenge sijui mtaacha lini. Anyway, na wewe siku hz ni vlogger? (Kazi mpya ya wakenya) Kazi hakuna wakenya wote mmeacha betting mnaingia kwenye content creation wazembe nyie.Hivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
View attachment 3356421
Mwenyewe anaona miaka 23 midoogoooo kumbe huku kwetu tayari wewe ni babu.Nimesema DJI pocket 3 zimeisha Dar? Au kwenye dula langu pendwa? And who told you 23 years old in Tanzania don't run shops. Just why I şaíd you didnt visit Kariakoo. Ungetembelea Kariakoo ungekuta hata watoto wa 12 years running shops and they know everything
Do you know why I ignore you most of times. Unapenda kutwist my words, you always find something to be proud for ego boosing. We call it NARSISSISM. And That's a big problem in Kenya.
Ok back to the main topic, tell us the cost of DJI OSMO Pocket 3 combo in Nairobi. Just be honnest.
I speak this because, Metrozone shop City mall is sending many DJI pocket cameras to Kenya, Uganda and Rwanda, because that camera in those countries is overpriced. So they prefer buying in Dar.
Taifa zima la kunya sahii wamekua vloggers. 🤣🤣🤣So, mtu akiwa dukani anauza basi tayari ni duka lake, wakenya bhn huu usenge sijui mtaacha lini. Anyway, na wewe siku hz ni vlogger? (Kazi mpya ya wakenya) Kazi hakuna wakenya wote mmeacha betting mnaingia kwenye content creation wazembe nyie.
Vijamaa taifa zima sahii vinafata ajira YouTube. 🤣🤣Anataka kula dola za Google adsense na Meta ambazo watu tumekula sana miaka hiyo mambo yakiwa marahisi, saa hii yeye ndo anachanuka. 😂😂😂
Google adsense.
View attachment 3357342
Facebook (Meta)
View attachment 3357347
Ni kweli ila kumbuka shirika letu bado changa. Mkakati uli1kuwa kutawala soko la nyumbani na nchi za karibu. Usisahau, ndege zenyewe za masafa marefu hatuna, au ulitaka tukope kama wakenya?nafikiri unapaniki bure tu, labda hawataki tui wale keki yao, kuna direct flight kati ya amsterdam-nairobi ya kenya airways/klm/airfrance na kenya airways inaoperate pia mombasa-nairobi kwa nini waruhusu mwingine achukue hiyo ruti? nafikiri siyo wajinga kama unavyofikira, fikiria tanzagiza ruti ambazo klm, katar, emirate inapiga ktk dar- europe/north amerika walipaswa wagawane angalau na air tanzagiza lkn kama kawaida tanzagiza hamjui how a capitalistic economy functions.
unajua wangapi wanakula keki yetu? wageni wanaokuja tanzagiza kutokea ulaya au north amerika ilipaswa air tanzagiza inufaike angalau hata kidogo tu hata thru joint venture labda katar iwalete mpaka doha halafu air tanzagiza iwafikishe dar huo mfano tu …
Labda uchumi wa kichawi.Sasa huo uzalishaji usioendana na makusanyo unatokana na Nini?
Kumbe unawajua, mmoja keshaandika juu wana handle 41m🤣🤣🤣🤣🤣Wakenya kesho watakumbia wanahandle 90 million tons
2025 ndio mwaka Chinese inawapa first rooftop parking alafu mnafikiria ndio the only one- the same way you think its the biggest 😅😂😂East Africa commercial and logistic center. The largest shopping center 🏬 in the region. ipo connected to BRT stations. You will only have to take your brt bus wherever you’re from straight to the mall. 🤣🤣🤣 kunyans wanalia tu. Kitu hiko. 👇🏾View attachment 3354967View attachment 3354969View attachment 3354970View attachment 3354972View attachment 3354973
Note: hio Ndio facility pekee in the whole region enye iko na rooftop parking lots.
Vipi mwaiofhawaii Nicxie mnayo comeback.? 🤣🤣🤣
Hiyo haina comeback my fool bro.
Wee huna haya kujua mambo ya rooftop parking sahii!?😅😅According to this foool. Ati hii ni rooftop parking. 👇🏾🤣🤣🤣🤣View attachment 3355187
Ni kama wanahesabu mpaka basement 😅That building is only 2 floors bwana Methuselah.
Don’t waste your time showing to Kenya anything tea related, especially hako ka nyumba kake kadogo … come to Kenya and see tea millionaires . They are all over the highlands.