Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna haja hata ya kuenda kwa office za Tahmeed, gari za bongoslum and other countries zimejaa Nairobi, from trucks to personal cars. Nairobi imejaa foreigners, people from all over Africa and beyond. It's a global city, haiko ligi moja na Dar is a slum, Kampala, Kigali, Bujumbura etc.
 
Hiv nání ametaja cargo volume? JNIA, or JKIA? Dera etc. Maneno kibao unrelated hapa.
I have a lot to do aisee. Labda cha kufanya nikukutafutia mkenya mmoja anayekuja kuchukua electronics Dar na kuuza Nairobi na kutuma picha. Sína mda wa kubishana na narsissitic person mimi
 
Ona hawa mbwa wanavyojidanganya huko.....yani mtu anapost uongo kuhusu Tanzania 🇹🇿 sijui ili apate nini...au ile gap ya $3 T kwenye bajeti zetu mwaka huu ndo zinawaumiza??

Inchi inajigamba GDP yao ni dabo na yetu ila bajeti tofauti ni $3 T🤣🤣. Kwa mwendo huu tunaweza kuwashinda kwa bajeti mwakani tu!! Waache waemdelee kula hiyo jiidiipii yao.....🤣🤣


View: https://x.com/MwangoCapital/status/1930527581482463432?t=vTCF-hay5guXyADWuYKH5A&s=19
 
Au sio
 
I used tahmeed. Most of those mizigo end up in Arusha. Nairobi is the business hub of East Africa.
 
Kama hauoni jinsi air cargo volumes na electronic business zilivyo related then wacha nikuache. If you have to keep using that word then at least get the spelling correct, it is narcissistic, not narsissitic.
 
Na ukienda border namanga, sirari etc no hundreds of trucks or personal cars exporting to Tanzania au magari yanabebwq na kenya airways😂?.
 
wacha kuropoka gap gani la $3 Trln? Unajua US$ Trln wewe?
 
What about Tahmeed of Mombasa zote huishia Tanga? Au Tanga hawana port?

But wait, I will visit Tahmeed offices. And take photos of mizigo going to Nairobi
I've never used Tahmeed to Mombasa. I spoke of what I saw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…