Mbali sana. Naona mwingine alijifariji eti anataka kulinganisha Mombasa na sijui Tanga. Aende akatangetange hukooo mbaliImeizidi Dar uswazi city upande wa makazi by far, and many other sectors!!!
Bi ara tii🤣🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣
I didn't record and and post everything I saw bro. Anyway, if you genuinely believe what is under construction in Kariakoo alone is more than what is under construction in Nairobi you're either delusional or completely clueless and I don't see why I should continue this argument with you.Eh? Hebu tupostie YouTube tuone ulipopita Kariakoo.
Au kutembea kwako Lumumba ukadhani umeiona kariakoo. Na I think ndo maana ulisema Dar is less Busy compared to Nairobi. Mtu aliyefika congo, msimbazi, sikukuu nk hawezi kusema Dar is less busy compared to Nairobi
Kariakoo is under construction. Every street there something being constructed
Lakin wew ni mbishi mbishi tu
So hizo ndio statistics?Seriously hakuna cha kulinganisha hapa kati ya Kariakoo na Eastleigh
The mighty Kariakoo:
Eastleigh:
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/share/v/1Fu8s8QfVJ/
Yani kakata ukubwa wa mall by half nzima bila shaka ameumia sana. Sasa watakuwa wanakuja China ya Ubungo 🤣🤣🤣Seems inakuuma eeh.? 👇🏾View attachment 3354832.. East Africa Commercial and Logistics Center-East Africa Commercial and Logistics Center-威海华坦供应链管理有限公司. Unafosi issues.? 🤣🤣🤣 govinda bhana.
Ushahidi unatoa wapi kwani wale ni wajinga waanike kilakitu hadharani? Simon Group hana hela ya kununua UDA kama alivyo Lugumi hana hela ya kufanya yale anayofanya likewise GSM hana hela ni muuza vifungo vya nguo kisutu.Ushahidi wa Wakina Ridhiwan ningependa kuuuona mkuu.
Huyo bila shaka Ndio mkundurenda anaeumia zaidi akiona maendeleo ya Tz. 🤣🤣🤣.Yani kakata ukubwa wa mall by half nzima bila shaka ameumia sana. Sasa watakuwa wanakuja China ya Ubungo 🤣🤣🤣
Hii picha ya juzi tu😅😅😅
Mikwara🤣🤣Mbali sana. Naona mwingine alijifariji eti anataka kulinganisha Mombasa na sijui Tanga. Aende akatangetange hukooo mbali
Tangu lini a logistics center ikawa mall? Mbona mnaforce issues?Yani kakata ukubwa wa mall by half nzima bila shaka ameumia sana. Sasa watakuwa wanakuja China ya Ubungo 🤣🤣🤣
Hii ndio statistics kijana wa Tandale?Seriously hakuna cha kulinganisha hapa kati ya Kariakoo na Eastleigh
The mighty Kariakoo:
Eastleigh:
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/share/v/1Fu8s8QfVJ/
Mombasa ni city ya kishamba sana 🤣🤣🤣 haina modern infrastructure yoyote 🤣🤣🤣Mikwara🤣🤣
Sasa an area measuring just 2.5 square kilometers unalinganishaje na uswazi zenu zilizotapakaa kila mahali. Dar ni slums Kila cornerLooks like Kibera slum be huge than most of us think,
Kibera slum is currently the Largest slum in the world.
Surveys confirms 60% of Nairobi population reside in slums.
See the Aeria view of Kibera slum
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1Dopywmu7x/
A logistics center imekuwa tena shopping mall?The largest shopping mall in East and Central Africa
View: https://youtu.be/F3DO_gKxd8s?si=gb3sNA-OcK7BCJbM
The oly shopping mall in the region with rooftop parking lots. Kama unaumia itabidi uumie ukijua hivyo ili ulie hadi upunguze machungu kabisa. 🤣🤣A logistics center imekuwa tena shopping mall?
Inashangaza wanataja Eistleigh hata aibu hawana, sehemu imejengwa na Wasomali.Seriously hakuna cha kulinganisha hapa kati ya Kariakoo na Eastleigh
The mighty Kariakoo:
Eastleigh:
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/share/v/1Fu8s8QfVJ/
Kaka umemaliza kila kitu, nafurahi kwamba watu wa government wapo humu na wanaona, ndiyo mana baadhi ya ushauri mwingi wa humu huwa wanaufanyia kazi.Kwa namna mchakato wa kupata fedha unavyokuwa mrefu serikalini ni ngumu sana kuendesha huu mradi kwa ufanisi. Ni Bora serikali iendelee na ujenzi wa miundombinu ila upande wa waendeshaji wa mabasi waweke kampuni tofauti tofauti.
Serikalini Hela kuingia ni rahisi ila kutoka ni ngumu, pili watu wa kupiga kwa pet cash... Kwa biashara ya usafirishaji unatakiwa uwe na balance cash muda wowote kwa ajili ya dharura... Huwezi kuandika pet cash kila siku sijui bolts, oils, rangi, break pads,fluids etc... utachoka..
Halafu bado upigaji upo sana maana uwajibikaji ni zero....wahasibu wanadhani wakitoa Hela ni kama wanakupa ya kutumia,sio ya kufanyia kazi... Zile gari zingekuwa zinajichanganya mtaani wangekuwa wananyonya mafuta kila siku...ila wanaiba sana engine oils na lubricant... Wananunua ila hawaweki kwenye magari...yanakufa tu yenyewe hakuna anaejali...
Kampuni binafsi wanakuwa na uchungu na gari zao, service watazingatia, uendeshaji wa tahadhari watazingatia na mambo mengine.... Ile maintenance team pale ukienda kuwakagua sidhani kama wanajua kazi yao...kila siku wana outsource mafundi nje na bado wako na kitengo Cha Ufundi... Ni upigaji tu wa kifala...
Gari ni matunzo na service kulingana na ratiba, hizo za kwao hawatunzi kabisa na ni kwa sababu usimamizi hakuna... management Haina wataalam wa mambo ya magari na usafirishaji... Kiburi na fair of insubordination inapelekea kuua mradi..
Wabinafsishe tu...wanakie kutoza Hela ya njia.
Tembea uwache kujifungia hapo Tandale.The oly shopping mall in the region with rooftop parking lots. Kama unaumia itabidi uumie ukijua hivyo ili ulie hadi upunguze machungu kabisa. 🤣🤣
More than 2.5 million people kwenye kaeneo kadogo it's not a joke bro.Looks like Kibera slum be huge than most of us think,
Kibera slum is currently the Largest slum in the world.
Surveys confirms 60% of Nairobi population reside in slums.
See the Aeria view of Kibera slum
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1Dopywmu7x/