Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu hawa wakenya kweli kwao kazi ni ngumu sn, ndiyo mana wakenya wote now wamegeuka you tubers, walianza kwenye betting but now wote ni you tubers mmoja wao tupo naye humu NairobiWalker
 
Alafu hawa wakenya kweli kwao kazi ni ngumu sn, ndiyo mana wakenya wote now wamegeuka you tubers, walianza kwenye betting but now wote ni you tubers mmoja wao tupo naye humu NairobiWalker
Hata wewe pia unaezakuwa YouTuber ukitaka, you can give us a tour of your crib pale kwa gate. You can teach us how to switch on/off a torch and how to firmly hold a spear.
 
Hata wewe pia unaezakuwa YouTuber ukitaka, you can give us a tour of your crib pale kwa gate. You can teach us how to switch on/off a torch and how to firmly hold a spear.
Kipato duni mnachopata ndio maana wengi wenu baada ya kazi weekend mnatembea majumba ya watu kuomba kufua nguo ana kufanya usafi.
Nation of beggars!
 
Pushing boundaries to the extreme.
Chamoto bro, why don’t you run for a government seat ( you are a very educated fella) . Aren’t you concerned your government is led by bunch of school drop outs? . Those resumes are scary for individuals in positions of modern day power ( no pun)
 
Alafu hawa wakenya kweli kwao kazi ni ngumu sn, ndiyo mana wakenya wote now wamegeuka you tubers, walianza kwenye betting but now wote ni you tubers mmoja wao tupo naye humu NairobiWalker
Nimemuona huku kwenye sherry party yao ya kushangilia 5 meters of pavement countrywide wakati Dar zinajengwa kilometers 350 through BRT na projects za DMDP hata kuumba maneno hajui masikini kuna kipindi niliona clip yake mkapa anafosi kweli comparison na Kasarani sikujua kama ndio huyu ng'ombe, Kasarani hata elevator haina πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikuambia upost hapa MPESA transactions zako for this year nami nipost zangu ukashindwa, Sasa bado unataka kushindana nami?,🀣🀣
 
Huyu c alisema yeye ni mdogo, mbn ana mvi kwenye ndevu? Hawa wakenya wanazeeka wakiwa wadogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…