Airbnb Kariakoo?🤣🤣Ushamba mwingi, kwan ni lazima watu wakae mbali na business area.
Huu ndo USHAMBA ninaoutaja wa kikenya.
Kariakoo ni unique.
Kariakoo buildings baadhi ni mixed use. Kuaccomodate kila mtu. Nyingi floor za juu huwa ni store, airbnbs, hostels, lodges nk.
Which is fine, and that makes Kariakoo kugrow haraka sana due to demand
Na tukiwaambia mahindi zenye huwa zinakuja Kenya from Tanzania are farmed by Kenyans na mnapinga.Wakenya wanafanya uhuni huko Ruvuma
View: https://x.com/MwendaKev/status/1928700372538859584/video/1
Wakenya 6???Na tukiwaambia mahindi zenye huwa zinakuja Kenya from Tanzania are farmed by Kenyans na mnapinga.
Bado mnabishana na Hawa wabongolala?Na tukiwaambia mahindi zenye huwa zinakuja Kenya from Tanzania are farmed by Kenyans na mnapinga.
Just know that mahindi mnauza Kenya zinalimwa na wakenya wenye wamekodisha shamba Tanzania.Wakenya 6???
Wapo wanaofanya kihuni, but very few
Anatamani iwe hivyo. 🤣🤣🤣 yaani hapo ushuzi Umembana.Sasa unataka kusema nini hapa? Sijaelewa point yako. Unadhani hatutajenga?
Toka hapo Kibera kwanza ujifunze.Just know that mahindi mnauza Kenya zinalimwa na wakenya wenye wamekodisha shamba Tanzania.
Kariakoo kuna hotels, residential apartments na airbnb kwa ajili ya wafanya biashara hawataki kulaa mbali na business centre ya kko akimaliza kufunga mzigo anasepa sasa cha ajabu nini hapo?Airbnb Kariakoo?🤣🤣
Dar es salaam jameni 😂😂
Ushakula we muuza mitumba.? 🤣🤣🤣 njaa Ndio inakusumbua mbunda weweJust know that mahindi mnauza Kenya zinalimwa na wakenya wenye wamekodisha shamba Tanzania.
Ukipost hivyo Ndio kwamba hii hatutajenga au.? 🤣🤣🤣👇🏾Sasa utashobokea hata AI generated image jameniView attachment 3351464View attachment 3351465
Una link ya kudownload. Nataka niisomeNawaletea Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025 - 2030
Baadae nitaanza kuweka vipande vipande. File lipo na 168mb nimeshindwa ku upload. Nitaweka vipande vipande hapa:
View attachment 3351066
Zipo Version 3. Hii yenye picha ni kubwa sana.Una l
Una link ya kudownload. Nataka niisome
Hawa jamaa wanatuchukia si sababu ya CCM, ni wivu Tu kwa sababu tunafuraha. Yani amani yetu na furaha yetu inawauma mno, wakitiona, hatuna shida na mtu, hatulalamiki sana, sio kwamba hatuna shida, ila watu wanapambana kutatua shida bila ya kupigana, kutukanana yani inawauma balaa.CCM ni ya TZ wanaoumia wakenya.
Baboon kwa ubora wake. Naskia uliwekwa chairman wa all baboons?Ushakula we muuza mitumba.? 🤣🤣🤣 njaa Ndio inakusumbua mbunda wewe
Kili ndio nani sasa wanaume wa umbea kama wanawake?Kunyan wanadanganya bila aibu kili ni wa kwao,jamaa washamba sana
USHAMBA unakusumbua.Airbnb Kariakoo?🤣🤣
Dar es salaam jameni 😂😂
Online Harasment and Cyberbullying haiwezi kukufanya uwe na akili.Baboon kwa ubora wake. Naskia uliwekwa chairman wa all baboons. By the way I deal with several products, not cloths pekee.