Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A country of primary school dropouts. Wanafaa kufika at least form 6 lakini wengi wanawachia class 7.

 
Nimekuambia hizo ni sheria za kwenu huko bongoslum. Hizi si zikona flags but they have personal number plates.

View attachment 3350927View attachment 3350929
Umeelewa swali kwanza au umekurupuka. Hiyo gari ni ya Tanzania .
Evidence gani kuwa ni gari ya ubalozi wa Tanzania ?
Kwahiyo niliona gari yoyote yenye plate number za Kenya ni gari ya balozi wa Kenya?
Laiti ingekuwa inaplate number za ubalozi na imeshusha bendera sawa.
Kingine bendera ya kiongozi Huwa inapachikwa kama kiongozi yumo ndani ya gari ,kama hayupo sharti ushushe maana bendera Huwa ni utambulishk wa iwepo wa mhusika kwenye tukio husika.
Mfano gari inayombeba ruto ikiwa letsay inaenda gereji au popote kama ruto hayupo huwez ona bendera ya state house ikiwa kwa gari na ndo maana kwenye msafara wake ni gari Moja tu linakuwaga na bendera ya statehouse kuashiria uwepo wa rais kwa gari.
Kwani nyinyi shuleni mnafundishwa Nini🤣🤣🤣🤣?
 
Umetuambia sheria zenu hazikubali flags kwa personal vehicles. 🤣🤣 Na nimekuambia Kenya inakubalika hadi nikakuwekea evidence. Sasa naona umekuja tena na sheria ya kwenu eti kama haijabeba occupant flag inafichwa. 🤣🤣🤣
 
Haya ni Sheria zenu then prove gani unasema hiyo ni gari ya balozi wa Tanzania ?
Then ebu jaribu kutengeneza flag ya statehouse Kenya then pachija kwa gari yako tuone?
 
Kibera walker kimepiga picha 👇🏾 ni Half km from TPA tower 👇🏾
 
Haya ni Sheria zenu then prove gani unasema hiyo ni gari ya balozi wa Tanzania ?
Then ebu jaribu kutengeneza flag ya statehouse Kenya then pachija kwa gari yako tuone?
Kama bongoslum hamkubaliwi kuweka flags on personal cars, na hio gari ina numberplates za bongoslum ina flag on a personal car. Jijazie basi hio ni gari ya nani.
 
Kama bongoslum hamkubaliwi kuweka flags on personal cars, na hio gari ina numberplates za bongoslum ina flag on a personal car. Jijazie basi hio ni gari ya nani.
Wewe sasa ndo unatakiwa utuambie kuwa hiyo gari inamilikiwa na ubalozi wa Tanzania - Kenya nyinyi SI mmedai baloz kashindwa kuweka bendera sabab ya kuogopa gen z.🤣🤣🤣
 
Wewe sasa ndo unatakiwa utuambie kuwa hiyo gari inamilikiwa na ubalozi wa Tanzania - Kenya nyinyi SI mmedai baloz kashindwa kuweka bendera sabab ya kuogopa gen z.🤣🤣🤣
Bendera imewekwa lakini imefunikwa, anaogopa nini na Kenya hua hatufichi bendera.🤣🤣
 
Balozi pekee ndio anakubaliwa kuweka flag kwa gari. So ushajijibu.
Umeambiwa leta proof hiyo gari yenye plate number za Tanzania ni mali ya ubalozi wa Tanzania na sio ya mtu binafasi aliyekuwa tembelea .
We only need a prove of Tanzania consulate owning that car na ilikuwa na balozi ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…