Enjoy the show...Mmetuweka wapii baada ya kumfira activist wenu?
Nipo humu kutoa elimu kwa watu wajinga kama wewe.Wala haungeshinda humu ukitoa povu usiku na mchana
Hiyo elimu wape wabunge wenu primary dropouts kwanzaNipo humu kutoa elimu kwa watu wajinga kama wewe.
Primary dropouts wa Tanzania ni zaidi ya Professors wa Kenya ambao wameshindwa kuondoa njaa.Hiyo elimu wape wabunge wenu primary dropouts kwanza
Ukiishi kwenye nchi ya watu wenye njaa kali lazima ujifiche.
Kwikwikwikwi wakenya mnahangaika sana. Njaa inawamaliza.Banangeeee π€£π€£π€£π€£
Eti Ugandans left!ππ They don't want problems with kenyans πππ
I saw another clip of Nigerians wondering if Tanzanians really know the problem they are putting themselves into. They fear we Kenyans have instilled in social media is unmatched!
Danganya wale hawajafika kule ama wasiojua kuhusu Dar. sisi tuliofika huko tunajua vizuri. Ingawa sio lazima kufika ndio tuoate habari, this is 2025π π πShida ya Wakenya mnafikiri CBD ya Nairobi ni sawa na Dar es Salaam.
Hivi huwa hamjiulizi kwanini Dar ina watu wengi kuliko Nairobi, lakini ukifika Dar unahisi kama hakuna watu??
Licha Dar kuwa na watu wengi zaidi ya Nairobi, lakini huwezi kukuta watu wamerundikana hivi kama Omena, eti manita CBD.
View: https://youtu.be/CNSAQWN6Lyw?si=_2neYCKvG1EvCIsF
lakini nikuulize mbona mkubaliwe mtawaliwe na wabunge wenye ni primary and high school drop out?ushwai kaa chini na mtu mwenye elimu ya kiwango cha chini ukasikia venye hufikiria na mwenye elimu ya juu ukaona tofauti? wacha tutoe tu siasa apa? nipe jibu mwafaka..Ukiishi kwenye nchi ya watu wenye njaa kali lazima ujifiche.
πSo Eastlands ni Pipeline pekee?
Nyie wapumbavu hivi mkidhuru mnafikiri watu wenu huku Tanzania tutawaacha?
picha za miaka hizo squatters wa jangwani zote zimeshavunjwa now kupisha mradi was msimbazi valley redevelopment.Stop comparing Kawangware na hiyo jehanamu. Kawangware is a slum but just like most slums in Nairobi, more than half of houses there are apartment blocks. Yani nyumba ziko na choo na bafu ndani yet it's still considered a slum
View attachment 3350637View attachment 3350638View attachment 3350639View attachment 3350640View attachment 3350642
Sasa linganisha hiyo Kawangware slum ni hizi hapa that dot your entire city View attachment 3350643View attachment 3350644View attachment 3350645View attachment 3350647
Mbona hapo ni Kariakoo.Danganya wale hawajafika kule ama wasiojua kuhusu Dar. sisi tuliofika huko tunajua vizuri. Ingawa sio lazima kufika ndio tuoate habari, this is 2025π π π
Daresaalam watu wamejaa mpaka kwenye barabara watu, bajaji, mwendokasi,pikipiki,mkokoteni wtc wanangangania barabara moja π
View attachment 3350721
Hawaelewi hata ni muda gani bendera huonekana na kutoonekana na kwanini. πππUkiishi kwenye nchi ya watu wenye njaa kali lazima ujifiche.