concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa π€£π€£π€£π€£Ndio maana wanaingizwa box kama madem vienyeji na mapolitician wao. Hapa Kenya huwezi ambia mtu "kama nimekukosea nisamehe" alafu akubali apology. ππ
Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamahaNenda uangalie the meaning of βifβ in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa Rutoπππ€£
Kuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the fact
Ungeendelea na masomo past Primary School ungeelewa what Ruto didπππ€£ππKipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa πππ
I wonder. π€£π€£Uganda pia wana protectionism? π€£ π€£
Comments za hiyo video ndio hizi. π€£π€£π€£Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa π€£π€£π€£π€£
Angekaa kimya
Why are talking on behalf of Iran? Are you their spokesperson?
View: https://youtu.be/b7fHO2Rw6s4?si=_nWF-LfOuM8WwCXuHuyu ilimchukua miaka mitatu kupata response tu ya kuwekeza Kenya .
Na sasa hivi mnafanyia figisu eti masuala ya mazingira .
Bado mnasema hamko na protectionism
Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .Hata hiyo Burundi unaweza pata hawapo. Kumbuka wamezingirwa na 8 stable countries lakini banki zao hazijaingia hata moja alafu wanasema Kenya hawajaingia kisa protectionism. π€£ π€£
Nisamehe is a genuine apology, lakini βif I have doneβ¦, I apologise.β Is not an apology.Tena hiyo ndio inafanya awe anatia huruma zaidi, bora angesema tu nisamehe
Kenyatta alikuja kwa magoti kabisa akaomba apewe na akili kidogoHiyo nayo mtangoja vile Nyerere alingoja Kenyatta amuombe msamaha. π€£ π€£
Tunaongelea Bank bwana. Wacha mambo ya Azam. Kwani Azam ndio investment pekee hapo kwenu? Na si kila siku mnatuambia humu Azam imetawala Kenya sector ya sports journalism na satelite dishes..tena hiyo azam ndio unasema imepingwa kuingia Kenya? π€£Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .
Hakuna apology Ruto ameomba hapo, najua wewe what your brain can process is only msamaha lakini the word βifβ imekupita mbali sanaππ.Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa π€£π€£π€£π€£
Angekaa kimya
Utatwist weee tani yako lakini hatumsamehi πππKuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.
View attachment 3348781
Sawa Primary School dropoutπππWewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamaha
Iβm not twisting, Iβm just educating you and picking over from where your class six teacher left when you dropped out of school.Utatwist weee tani yako lakini hatumsamehi πππ
Lakini nilikuambia mtakuja na magoti sikukuambia? ππUngeendelea na masomo past Primary School ungeelewa what Ruto didπππ€£ππ
View attachment 3348783
Hapo mlikuwa mnampea Honorary degree. Hiyo pekee ni heshima mliyo nayo kwake. Kwanza unajua honorary degree ni nini? Labda naongea na aliyefika Primary school hapa.Kenyatta alikuja kwa magoti kabisa akaomba apewe na akili kidogo View attachment 3348787
Win is win hakuna nyembamba na neneNisamehe is a genuine apology, lakini βif I have doneβ¦, I apologise.β Is not an apology.
Comments za hiyo video ndio hizi. π€£π€£π€£
View attachment 3348785