Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magari za 1993 kaka ambulance,
Mko na jokes sana.
Yaani iyo probox pekee ndio atleast si ya zamani!
Na mtu amefika primary pekee anaruhusiwa aje kuwa MP?
Ama hapo kwenu bado mnaruhusu kila takataka wasimame viti vya kisiasa?
Mp anafaa kuwa na DEGREE.
 
Ambulance zenyewe ni donations from China😂🤣
 
Huko sure hizi ambulances sio second hand? Let’s talk about headlights, gari mpya inaezakuwa na headlights zimechoka Hivo? Headlights zimetoka from being clear to dark brown in color. Again gari zenyewe ni Kama mlipewa na wachina.
 
Magari za 1993 kaka ambulance,
Mko na jokes sana.
Yaani iyo probox pekee ndio atleast si ya zamani!
Na mtu amefika primary pekee anaruhusiwa aje kuwa MP?
Ama hapo kwenu bado mnaruhusu kila takataka wasimame viti vya kisiasa?
Mp anafaa kuwa na DEGREE.
Kama ameweza kununua kwa ajili ya Jimbo lake magari 10 . Whatever the case huwezi linganisha na yule ambaye amesizi pesa yote. Haya tuletee mbunge wa Kenya ambaye sio waziri, seneta au governor aliyeweza toa hata ambulance 5 kwa Jimbo lake🤣🤣😯
 
Mbunge anunue ambulance kwanini? Kwani unadhani Kenya ni bongoslum. Health is a devolved function you dimwit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…