We both know that to be certain mate. πππKeep hearing
wenzetu wanataka shortcut hayo ndio madhara ya shortcut wao wanataka kila kitu kiwe rahisi ili wanasiasa wapige pesa na kweli wamepiga pesa ππππ
Stress, hawana kazi za kufanya, idle , ugumu wa maishaHawa watu ni wajinga kiasi gn? Yn wananchi wanaandamana nchi nzima eti "Samia must go" hv ni ufinyu wa elimu au ukosefu wa ajira. Alafu utasikia magovinda ya humu yanakuambia hayatu discuss, ushawahi kusikia watz wanaandamana kuhusu Kenya?
Hopeless kabisa.
mwanza iko mbali sana kwa mbeya tena mbali sana vitu vingine acha kujiaibishaWale mliokuwa mnaiponda Mbeya mpo? Mwaka huu inapita Mwanza ,tuko hapa π π
View: https://www.instagram.com/p/DJjlg1PiHIx/?igsh=dmx4Z3cxNTFsNWQy
Nawakumbusha tuu Chunya-Mbeya ndio inaongoza Kwa Kuzalisha Dhahabu Tanzania nzima,hakuna Cha GGM Wala Kahama .
Mbali sana wapi na Kwa lipi? ππmwanza iko mbali sana kwa mbeya tena mbali sana vitu vingine acha kujiaibisha
Mbona wanakusanya mapato madogo sasa?mwanza iko mbali sana kwa mbeya tena mbali sana vitu vingine acha kujiaibisha
mwanza iko mbali kwenye kila kitu kuanzia development, economy etcMbali sana wapi na Kwa lipi? ππ
Mwanza GDP 12T less Mbeya GDP 10.5T,namba 2 &3 respectively
Hiyo mbali sana Iko wapi?
kwa sasa hvi unaulizia mapato wakat watu wanajipigia pesa ovyo, pesa zinapigwa ipasavyo alaf unaulizia mapato serious?Mbona wanakusanya mapato madogo sasa?
π€£π€£π€£π€£ hapo vipi.. huu uwanja hauna hata hadhi ya CHAN ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/DKHO8iDIAKe/?igsh=MW5sbngwbGluMjA3MA==.
Walikuwa busy na Tanzania huku hawajui nini kinaendelea nchini kwao. πππ
wanaokula ni wachache wenye akiliππWalikuwa busy na Tanzania huku hawajui nini kinaendelea nchini kwao. πππ
Ngβombe in ngβombe tu.Mimi ndio nilioandika taarifa we mnuka mavi.? π€£π€£π€£ uncircumcised bafoon.
wanapewa standards na CAF ila wao wanatafuta shortcut ili wapige hela sasa soon wanaangukia pua.I hear the pathetic drab unattractive Jurassic structure has again been disapproved by CAF πππ