Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

INgekuwa mnauwezo mpaka sasa mngekuwa mshamwitisha baloz wa Tanzania aje atoe maelezo, lakini kwa sababu mko weak,mmebaki TikTok tu mnapiga kelele🤣🤣🤣🤣😬
Afadhali sisi tuko TikTok, nyinyi mshafikisha mjadala hadi bungeni
 
Wajibu wenu ni kutudiscuss bungeni? Don't you have important things to do in your parliament?
Hiyo imekisha mzee. Tulikuwa tunajadiliana kuhusu budget ya Wizara ya Mambo ya Ndani (Uhamiaji, Police etc). So lazimia kuongelea yale yanayoendelea. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi.

Sijaona ubaya wowote. Kinachofuata sasa ni kuanza kuwafinya.
 
Hiyo imekisha mzee. Tulikuwa tunajadiliana kuhusu budget ya Wizara ya Mambo ya Ndani (Uhamiaji, Police etc). So lazimia kuongelea yale yanayoendelea. Wabunge ni wawakilishi wa wananchi.

Sijaona ubaya wowote. Kinachofuata sasa ni kuanza kuwafinya.
Kubali yaishe, your parliamentarians were discussing Kenyans in your parliament. Maneno miiingi ya nini?
 
Nilisema labda PR na content za mitandaoni, tiktok nk. Huko kenya ndo inaonekana Successful. Kwanza successful in what? Kutukana nchi za watu mitandaoni na kuwa narsissitic? Ujinga tu.

Reality kwa ground, no country respects Kenya. Hakuna achievements yoyote that Africa can be proud of. Because nchi yenu iko proud of being Kenyan not African.
Na ndo mnawafurahisha wazungu hivyo. Kwa sababu hamna agenda ya Africanization, and that way Kenya attracts western powers to puppet it and destabilize Africa. Na consequences zinawaaffect innocent Kenyans kwa terrorism and being too westernized na kuacha mising yenu ya kiafrica.

Kenya needs major reforms kufikia state Tz ilipo sasa kwa upande wa Africanicity.

Na comments za wakenya kwenye mitandaoni kuhusu sakata la deportation zinaonyesha you still have long way to go.
It's shocking an independent nation Kenya in 2025 Bado kuna watu wanacomment
" Address us in English"
"Imagine in Parliament they discuss in Swahili"
Nk.
Upuuzi tu.
Yaan hapo ndo anaonyesha amedefend his country 😂
 
Na wasichojua kadri wanavyozidi kuropoka ndo wanaukoleza moto🤣🤣🤣.
Hilo la wabunge kuwatukana ni baada ya kuona wanavuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…