Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa wakenya kwa ss tunawafira wala hakuna discussion.
 
Yule kunyan kachezea kifiro ila anaogopa kuweka hadharani,marinda hamna pale kama kwa mvaa mitumba oversize mwaiofhawaii
 
Nyumba za tofali zenye huduma zote vs slums zenye huduma mbovu na mazingira machafu!
Huduma zote kama zipi kwenye hizo danguro?
Ziko na maji ndani? Choo ya ndani je? Sewer system iko? Na barabara je? Ama hizo zigzag za kukata kwa miguu ndio utasema ni barabara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…