Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hiyo bei inatoshana na ya Tanzania ama kukaribiana sana., inamaanisha pia Tanzania ni vile vile 🀣🀣🀣🀣., mbona usitumie akili bro🀣🀣🀣🀣🀣🀣.,
Hivi ninyi ndio mnasemaga hamumjui vice president wa Tanzania?


View: https://vm.tiktok.com/ZMSNyW5jT/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Ni chumba kimoja??
Inaitwa bedsitter kilaza, Kuna bedsitter(a self-contained single room), Kuna one bedroom(a separate room for siting room, a kitchen, and a bedroom, na Kuna za two bedrooms, ni wewe unaamua..,
 
Hivi ninyi ndio mnasemaga hamumjui vice president wa Tanzania?


View: https://vm.tiktok.com/ZMSNyW5jT/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok

Huyu ni journalist, a journalist lazima akue informed, how will they inform people if they are not informed, a common Kenyan on average hawajui Tanzania that much.., usijidanganye.., huyu sio pedestrian bwana
 
Kenya ni poverty na poverty ni Kenya, slums kila kona bado wapo wapumbavu humu wanafikiri 10 blocks zitaondoa slums 2500


View: https://youtu.be/piqpGm0RgSk?si=UeLeO5pmIUcdR7uK
Mtanyooka, hiyo Kibera inafanana hivi 2025;

View: https://youtu.be/FBLQxg4rdOQ?si=RvbJfhin-0-G5Z5z
Na bado Kibera inajengwa usiku na mchana; mtakosa ya kupost kuhusu Kenya, kwenu hamna mengi ya kuonyesha..,
Unajua hii phase one pekee itaondoa kiasi kigani ya nyumba za kibera? It's vertical buildings and one block has many houses!.., kama nyumba moja moja zingekua kwa ground ni upana upi zingekua zime cover?.., think! 🀣🀣🀣🀣









Shirikisha ubongo kilaza 🀣
 
Hizi gorofa mbili tatu ndio zime cover kibra.? 🀣🀣🀣
 
Inaitwa phase one kilaza.., hizo mbili tatu is equivalent to more than a quarter of Kibera., tumia akili dogo
🀣🀣🀣 imagine gorofa mbili tatu ku cover 1/4 of kibera. 🀣🀣🀣 ni lini utaacha uongo wa kipumbavu na kuanza kuwa realistic.?
 
Wanaita nyumba. Ina chumba kimoja na choo. Kweli majirani kichwani hamna kitu
 
Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.😁
Sawa sawa, watu wengi wanashindwa kutofauyisha hilo. Wengi wetu CCM inatuangusha sana, ila sasa hao wanopingana na CCM mpaka sasa hatujaona mikakati yao yoyote ya Maana. Iwe ya muda mfupi au mrefu.
Tanzania sio nchi ya kuleta mabadiliko kwa mabavu, watu washawaonesha kwamba hawataki fujo!!
Baada ya kuandaa mikakati ya muda mrefu, kujenga mapato ili hata ikija muda wakinyinwa ruzuku bado wataendelea(kwa mfano tu) ila hakuna kitu. Wao ni kukashifu na kupinga tu kila kitu. Hata mema kwao kwa sababu CCM kafanya basi halifai.

Wanaendekeza harakati baada ya kufanya siasa haswa!! Hakuna linaloshindikana, na CCM kutolewa madarakani inawezekana sema wameamua kuto fanya Mambo sahihi.
 
🀣🀣🀣 imagine gorofa mbili tatu ku cover 1/4 of kibera. 🀣🀣🀣 ni lini utaacha uongo wa kipumbavu na kuanza kuwa realistic.?
Enyewe wewe ni fala walai.., umeona ghorofa mbili tatu eti?., kisha ni urefu upi na nyumba(units) ni ngapi kwa hizo apartments?.., ebu hesabu mabanda elfu moja kwa ground uniambie ina cover area kiwango gani pale Kibera.., mtanyooka mpende msipende., hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…