concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Mukuru Kwa Njenga in Nairobi's Embakasi South is home to Kenya's largest affordable housing project, stretching across 56 acres and featuring 13,248 housingNew Cairo city ukaskia yote ni nyumba za makazi.
Fomu sixi strikes again. 😂
Kama sio masomo duni, ungeweza kuona nilispecify Egypt new capital housing project'.
Alafu, tumia akili ujue hizo 343km unataja are the city administrative borders, not the built up are.
Much like Dar is slum.
Which sources are you talking about?Hizi 0 kwenye id yako respresents who you are. 🤣🤣🤣 sources say eistleigh contributes about 10% of Nairobi’s gdp, sasa labda utueleze 100 billion ndio Gdp ya Naipori. 🤣🤣🤣 wewe ni maandazi kuliko wote humu ndani.
Dah bro huyo jamaa anazunguka zunguka tu kama bank check isiyo na saini.Utaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.
Listen, Nyerere aliwahi kuwakatalia barick mkataba wao wa hovyo kuchimba madini Tz na kuwaeleza wazi kwamba sio lazima madini yachimbwe wakati ule, Vizazi vijavyo vitakapokuwa tayari vitachimba, kwa bahati mbaya Mkapa akaruhusu kwa vipingele vibovu kuliko vile alivyopinga Nyerere, sasa je Magufuli nae angeacha hivyo hivyo.? Hivi nyinyi mnalitakia mema hili taifa kweli.? Au mnashabikia tu.?
Hizi zero kwenye id yako zinakuelezea wewe 🤣🤣🤣👇🏾Which sources are you talking about?
Nairobi GDP is about $35-40 Billion
Eastleigh contributes 30% of Nairobi City County Tax Revenue and collections.
What is 30% of $35?
Dokta Ulimboka.Hawa ndo wanakuambia awamu ya JK haikuwa na shida.
Unajiuliza hivi yule dokta wa msitu wa Pande ilikuwa awamu gani!
Africa's largest Public Housing SchemesMukuru Kwa Njenga in Nairobi's Embakasi South is home to Kenya's largest affordable housing project, stretching across 56 acres and featuring 13,248 housing
Versus 1000 acre Egyptian new city housing project
Africa's largest Public Housing Schemes
1. Egypt Residential in the New Adminstrative Capital -
2. Kilamba City, Angola
3. Mukuru Housing, Nairobi.
...
28. The biggest Tanzanian project..
Satisfied, Englishman?
Also, with some houses in the Egypt city costing over $250,000, I'd rather not classify it as a public housing scheme.
That is just a bunch of investors allocated government land, to build gated communities inside the city.
It's not even a single coherent project.
More like the way we have over 100 gated communities in Karen.
Hizo zero kwenye id yako ndio kigezo 🤣🤣🤣 hii sindio mukuru housing project.? 👇🏾Africa's largest Public Housing Schemes
1. Egypt Residential in the New Adminstrative Capital -
2. Kilamba City, Angola
3. Mukuru Housing, Nairobi.
...
28. The biggest Tanzanian project..
Satisfied, Englishman?
Also, with some houses in the Egypt city costing over $250,000, I'd rather not classify it as a public housing scheme.
That is just a bunch of investors allocated government land, to build gated communities inside the city.
It's not even a single coherent project.
More like the way we have over 100 gated communities in Karen.
You realize, even the numbers you're thowing around don't make Dodoma look good? 😂 😂Hizi zero kwenye id yako zinakuelezea wewe 🤣🤣🤣👇🏾 View attachment 3340049
Muonee huruma nyumba zenyewe Zina milango ya mabatiHizo zero kwenye id yako ndio kigezo 🤣🤣🤣 hii sindio mukuru housing project.? 👇🏾View attachment 3340056nikianza kukuonyesha projects za nyumba hii haikai hata top 100 Africa. Kaa kwa kutulia na ujinga wako wewe kiazi.
Ebu ni point hapo..Ila umetoka kutuambia mukuru is largest housing project surpassing that of Egypt , sasa tueleze 1000 acres na 53 acres ipi kubwa
Mpaka wakundustan pamoja na kashkash zote hapo bado wameona kazi ya Maguama kweli hayati magu ulitutoa kimasomaso utakumbukwa sana 🙌🏻
View attachment 3340021
🤣🤣🤣 we zunguka zunguka tu kama pia. 🤣🤣🤣You realize, even the numbers you're thowing around don't make Dodoma look good? 😂 😂
I thought you'd quietly drop the issue in embarrassment.
But anyway, the only fool-proof way to calcuate the 'GDP' or in short the Production of a non-nation entity, is through how much they are collecting in taxes. Eastleigh contribution to Nairobi county is 30%.
Unless you link me to the particular document, not these mythical 'sources' or 'estimates'. A particular document that shows when and how Eastleigh's contribution was measured to be 10-15%.
Until then, tax revenue is the closest measure.
View attachment 3340055
Huu ni thibitisho kuwa, uwezo wako sio mzuri. I will leave it at that.Kwa hiyo sio serikali ya ccm? Wakati hiyo mikataba letsay ya madini yeye hakushiriki kwenye cabinet kama alikuwa anaona haifai mbona hatukwahi msikia akipinga hata bungeni🤣🤣🤣🤣
Nashukuru kwa hilo 🤣🤣🤣. Hapo umeprove kuwa uwezo wako ni mdogo sana kama hujui cabinet ya mawaziri lazima itakuwa ilipitia hiyo mikatabaHuu ni thibitisho kuwa, uwezo wako sio mzuri. I will leave it at that.
Na hiyo bei inatoshana na ya Tanzania ama kukaribiana sana., inamaanisha pia Tanzania ni vile vile 🤣🤣🤣🤣., mbona usitumie akili bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,