I'm indifferent toward this guy, especially when it comes to what he used to say about Magufuli. I wonder what the fuss is about him.FREE LISSU
We will free you from your mental bondage.Kwa hiyo wewe unaona sawa Clout Chaser wa Ukunyani kuja kutafuta attention huku na kufanya kama vile ni Kenya hata kutaka kufanya maandamano huku?
Akili gani hizo?
The beauty of having multiple approved Stadia, Trust me there are some poor countries like Kenya, their poor national team (Lowest ranked by fifa) plays their home games in Malawi, due to lack of a single stadium withnthe minimum standards. Tanzania got 3 Stadia approved by the continental football confederationNimecheka sana, wanafosi mechi ichezwe makwapa stadium na CAF inajua huu ni msimu wa mvua 😂😂😂
View: https://x.com/azamtvtz/status/1924423542709354789?t=UAiZ4PwqD_0mi_Ducc2vxw&s=19
Wewe umewahi kutembea nchi gn ukiacha Tanzania na Kenya. Tuoneshe passport yako.Go kart ndio kitu cha kutishia watu bro? 🤣 🤣 🤣
Alafu by exposure simaanishi hizi vitu haziko kwenu, namaanisha umetembea ukaona maisha yalivyo kwa nchi zengine so huongei out of ignorance. Najua unaumia kisa nilikuambia kwa ile post ya KQ unabehave kama mtu hana exposure which is true. Your post was showing a lot of ignorance. Only someone who hasn't travelled, lacks exposure and is stupid can reason like that.
Mzee anza na hii kwanzaWe will free you from your mental bondage.
Dharau za nn sasa hebu msikilize humble former CJ anachosema!Huyo hua tunadeal na yeye daily, hata yeye anajua.
Huyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.Dharau za nn sasa hebu msikilize humble former CJ anachosema!
View: https://youtu.be/m4nuMV-UjAA?si=B7gh6ssHGFD7ekHG
Upinzani sawa lakini sio uanaharakati😁Kwahili nawaunga mkono bila upinzani watawala watafanya madudu mengi zaidi ya haya
Mkuu tuwe serious kwenye hili nadhani serikali imekosea, huwez endelea popote pale kwa kukandamiza haki za watu. Hapa siku zote tunalalamika kuwa Kuna ufisadi ila ikitokea mtu kauzungumzia ufisadi ni mhaini , kwahiyo lisu kuongelea kuhusu makaa ya mawe ni uhaini.Huyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.
Upinzani wa kuchaguliwa mambo mkuu,Upinzani sawa lakini sio uanaharakati😁
Peleka hasira nyumbani kwenu kitukuu cha CCM!Huyu Godbless Lema ni mpotoshaji sana huyu mbwa, ningekua na mamlaka mimi, huyu ningemfunga au kumpoteza kabisa. Traitors hawastahili maisha.
Hapa naungana nawewe , serikali imeteleza , Tanzania ndo imechafuka mtu hawez elewa kwa leoPeleka hasira nyumbani kwenu kitukuu cha CCM!
Wapi huko wanakoambiwa "wanapewa" viti 20 vya ubunge?Upinzani wa kuchaguliwa mambo mkuu,
Yaan mnaambiwa kabisa tunawapa vitu vya ubunge 20 haya tuongie kwenye uchaguzi.
Hivi kwa haya ule mradi wa gesi wa usd 30bil SI gesi itaisha hatujaambulia hata senti?
Hawa wa ubwabwaWapi huko wanakoambiwa 'wanapewa' viti 20?
Kwanini sasa serikali izuie kusiwe na mabadiliko , yaan Kila mtu ashinde kwa kutumia mbavi zake,Wapi huko wanapoambiwa 'wanapewa' viti 20?
Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.😁Kwanini sasa serikali izuie kusiwe na mabadiliko , yaan Kila mtu ashinde kwa kutumia mbavi zake,
Yaan
1. msimamiz wa uchaguz asiwe mteule wa rais
2. Na mengineyo?