Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pia Bagamoyo port Mta-
Kigamboni City Mta-
Kawe City mta -
Beating our GDP in the next 5 years Mta-
Dar es Salaam Maritime Gateway project Mta-
Kipawa international airport Mta-
Kibaha Expressway Mta-
Kinyerezi Power plant mta -


Wacheni kujifanya first world wakati nyinyi ni LDC. The point is, most planned projects especially in third world countries don't come to fruition hence it's unwise to start celebrating them before you see them happen or see very real signs of them happening. Otherwise tuondoleeni hapa hizo tuta- zenu.🚮🚮
 
Sasa wakenya ndio wa kutufundisha siasa watanzania? Halafu mahakama haina siasa, hawa ni commercial activists isitoshe EAC hatuna political coalition, nini kinawaleta Tanzania?
Mzee na weakness yao at least wana bunge nusu chama tawala nusu upinzani! sasa kwa wanachofanya CCM ni ubinafsi na wanaenda kushinda 100%! Haikubaliki!
 
Ngoja kwanza, kwani CJ Maraga amekuja kama lawyer wa Lissu au amekuja kusikiliza kesi kama wananchi wengine wa kawaida? 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…