The moment you tried messing with Martha Karua ndio mulichokoza nyuki. You don't mess with our own.Hatufatiliagi Tanzania πππ
Why are these people so desperate?
View: https://x.com/itskipronoh/status/1924392958280790412?t=2kvBhxSaMQO036VZkwmTVA&s=19
View: https://x.com/itskipronoh/status/1924334992609439869?t=B9GELn_vCtlFRZPQHkIbxw&s=19
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1924277292945064396?t=LqkHvVpqKiBQmr-KgyBGRw&s=19
Alikuja kufata nini huyo demu?The moment you tried messing with Martha Karua ndio mulichokoza nyuki. You don't mess with our own.
Kwenye mambo ya kuhusu haki zako uwache upuuzi! Halijakukuta sio? Mtoto wa siagi, sausage na mkate wewe?Hatufatiliagi Tanzania πππ
Why are these people so desperate?
View: https://x.com/itskipronoh/status/1924392958280790412?t=2kvBhxSaMQO036VZkwmTVA&s=19
View: https://x.com/itskipronoh/status/1924334992609439869?t=B9GELn_vCtlFRZPQHkIbxw&s=19
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1924277292945064396?t=LqkHvVpqKiBQmr-KgyBGRw&s=19
Na wewe wacha upumbavu keyboard warrior mbona hum-face Ruto?The moment you tried messing with Martha Karua ndio mulichokoza nyuki. You don't mess with our own.
Hebu acheni ujinga vitukuu vya CCM!NairobiWalker alafu baadae unakujaga hapa kujifanyaga msafi eti sisi Tanzania ndio worse kwenu.
Sasa hao ******* wote wamefata nini huku? Mambo ya nchi yanawahusu nini? Tunajiletaga huko kwenu mkiwa na inshu za kisiasa kali na kimbelembele cha activitist na mnapanga kabisa kuja kufanya maandamano
View: https://x.com/AmakanjiThomas/status/1924365136308916235?t=iEIEDUbAu_ae5aKcZiiZoQ&s=19
Pia gachagua ni upinzani juzi wakati anazindua chama chake amevamiwa na watu wa serikali yao na kufanyiwa vurugu kubwa kuna watu wamekufa, sasa kama hao ni wanademokrasia kwanini wasikemee serikali yao kuzuia vyama vya upinzani kufanya siasa, wameendekeza siasa unaweza kudhani uchaguzi Kunyaland ni keshokutwaHawa Kenge badala ya kuwadetain ni kuwaunganisha kwa kesi wafeel joto.
Wajinga sana. Kwanini wasikomae na Gachagua anayeeneza ukabila, Turkana kukosa haki ya mahitaji ya binadamu mathalani chakula.
Miradi kupigwa na kupotea.
Kwani ni kipi mmefanya?The moment you tried messing with Martha Karua ndio mulichokoza nyuki. You don't mess with our own.
Hao wanaitwa commercial activists πππWalitaka kufanyia maandamano huku or something?
Wanawashwa nini?
Kama vipi waende jela kupakwa kalainishi
Ni kweli tunahitaji upinzani lakini wapinzani wanaowaona wakundustan ni watu wa kuwalecture tayari wana matatizo ya akili, pia si sahihi wakundustan kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu kana kwamba wana nguvu au ushawishi wa kuamua tufanye nini.Kwahili nawaunga mkono bila upinzani watawala watafanya madudu mengi zaidi ya haya
Sasa wakenya ndio wa kutufundisha siasa watanzania? Halafu mahakama haina siasa, hawa ni commercial activists isitoshe EAC hatuna political coalition, nini kinawaleta Tanzania?Kwenye mambo ya kuhusu haki zako uwache upuuzi! Halijakukuta sio? Mtoto wa siagi, sausage na mkate wewe?
at least wana solidarity na guts kuja kutusindikiza! Mahakama zetu zimejaa wajinga!Sasa wakenya ndio wa kutufundisha siasa watanzania? Halafu mahakama haina siasa, hawa ni commercial activists isitoshe EAC hatuna political coalition, nini kinawaleta Tanzania?
Yes tuta, zita, that's how we do mate,Zita -
Huyu kaja kupima kina cha maji kakuta ni mkondo nungwi πππ nenda kagoogleThe moment you tried messing with Martha Karua ndio mulichokoza nyuki. You don't mess with our own.
Whatever the case lakini ingilia yao ni kama ngoja tukawaokoe watanzania wajinga bila sisi hawawezi, then mahakama zetu zikitenda haki waseme bila wakenya Lissu asingetokaat least wana solidarity na guts kuja kutusindikiza! Mahakama zetu zimejaa wajinga!
Hizi kondoo zinalipwa na Ford Foundation.Huyu kaja kupima kina cha maji kakuta ni mkondo nungwi πππ nenda kagoogle
View: https://x.com/Honeyfarsafi/status/1924410138883981383?t=lYxu2G0GOvfSgq_haoqnWA&s=19
Ford foundation wale walikua wanawalipa wale abroad radicals kipindi cha Magu cha ajabu baada ya Magu na pesa wamekatiwa πππHizi kondoo zinalipwa na Ford Foundation.
Hela ya Ford foundation ukila lazima ufanyie kazi. πππ
Huyu kaja kupima kina cha maji kakuta ni mkondo nungwi πππ nenda kagoogle
View: https://x.com/Honeyfarsafi/status/1924410138883981383?t=lYxu2G0GOvfSgq_haoqnWA&s=19
Huyo hua tunadeal na yeye daily, hata yeye anajua.Na wewe wacha upumbavu keyboard warrior mbona hum-face Ruto?