The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Huijui Dodoma chill, unadhani utaijua Dodoma kupitia google.? ๐คฃ๐คฃ๐คฃUnatafuta na magnifying glass. ๐คฃ๐คฃ
Nachojuwa ni kuwa yeye alikuwa mkuu wa kitengo cha moyo pale Muhimbili.Mohamed si ndio alikuwa main man pale mzena, sivyo?
Tuwekane sawa dual carriageways dodoma sio ppp ni mradi wa serikali pure ( originally)Achukue na zile za kisumu pia. Halafu sisi tutamaliza tu na Dodoma ili tufunge huu mjadala.
The word is Quality n NOT amenities/provisions! Sasa unafikiri Nairobi expressway inafikia hiyo kwa quality works? Au nilete picha ya jinsi Naitobi Expressway imekuwa mto?Yes very true, highways zetu hua na interchanges/flyovers kwa intersections. This is very mediocre for a highway.
If you genuinely believe Dodoma has 400km of dual carriageways then you're too stupid and uninformed for this debate. If you're joking then I see no need to continue engaging you. Either way, the discussion is over.๐ฎ๐ฎBasi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400
Naomba uchukue km zote za Mombasa metropolitan Mimi ntadili na dodoma tu halafu tufikie mwafaka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tatizo lenu ni uongo wa kulazimisha vitu dual carriageway highway ya 40 km inakuwa 200 km as if hamna internet!If you genuinely believe Dodoma has 400km of dual carriageways then you're too stupid and uninformed for this debate. If you're joking then I see no need to continue engaging you. Either way, the discussion is over.๐ฎ๐ฎ
Lazima nishuke nije chini sana kwa level yako ya vipicha ndio tuelewane, ka sivyo hatuna la kujadiliana๐คฃ๐คฃ
Affordable inapikwa pole pole kilaza,. Slum
View attachment 3333311
endelea kuota!Second leg CAF imesema ichezwe Zanzibar kwasababu makwapa inatope kukinyesha. Mo dewji amesema ata boycott ๐๐View attachment 3337948
Wapi nimesema 40km ni 200? Huoni wenzako wanasema Dodoma Ina 400km dual carriageway?Tatizo lenu ni uongo wa kulazimisha vitu dual carriageway highway ya 40 km inakuwa 200 km as of hamna internet!
Sasa wakenya mnadhani Tanzania ni nchi yenu. Kwanza wamewafanyia huruma tu. Walitakiwa watiwe ndani na kisha washitakiwe kijeshi kwa kuingia owenye mipaka ya Tanzania kutetea uhaini.Not yet Uhuru in Tanzania
View: https://www.instagram.com/reel/DJycmn3gY02/?igsh=MXV6bjN1N29jNmFyZg==
Mabeyo alimtaha yule kama daktari aloyekuwapo Mzena. Anyway, tuishuahe hii inshu naona ni sensitivu!Nachojuwa ni kuwa yeye alikuwa mkuu wa kitengo cha moyo pale Muhimbili.
Japo simuungi mkono mama ila na nyinyi kwenu huko badoo sanaa gachagua anaeneza ukabila wa wazi wazi,shughilikeni kwanza na huyoNot yet Uhuru in Tanzania
View: https://www.instagram.com/reel/DJycmn3gY02/?igsh=MXV6bjN1N29jNmFyZg==
Baada ya kubanwa mbavu na Dodoma. Ujuaji tuWhich inner ring roads? BTW aside from Dodoma and Nairobi road in Arusha, which other road is a dual carriageway in Tanzania outside Dar?
Hapo nakubaliana na Uhamiaji, nchi yake ina matatizo lukuki halafu anakuja kutafuta umaarufu huku, adili na matatizo ya nchi yake.Sasa wakenya mnadhani Tanzania ni nchi yenu. Kwanza wamewafanyia huruma tu. Walitakiwa watiwe ndani na kisha washitakiwe kijeshi kwa kuingia owenye mipaka ya Tanzania kutetea uhaini.
Nakuhakikishia that was a warning akirudi tena, mtaniambia matokeo.
na wewe umeingia kwenye mfumo๐๐