Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi kelele pigizana na serikali sio mimi.. na wenyewe wanasema ni njiasita sio nee..lengo ni kuondoa foleni kwenye barabara hiyo barabara.
View: https://youtu.be/K9YNhuB_rMI?si=w-XTWeFMcvZ8riqV. 🤣🤣

Halafu usinielezee ndoto za kenya mimi. Sisi hatuelezi ndoto sahii. Sisi tunafanya
 
22km ni kipande cha mjini tu ila barabara ya njia nne ni kuanzia nsalaga tu tunduma
 
Sikuwa najibu Mombasa vs Dodoma, nilikuwa najibu dual carriageway kiujumla maanake yeye aliquote dual carriageways zinazojengwa Tanzania nzima na sio Dodoma pekee. Ikija swala la Mombasa vs Dodoma, Dodoma mna hiyo ring road ya 110km plus vibarabara vingine vya ndani ambavyo havifiki hata 10km. In total hiyo ni at most 120km ya dual carriageways. Mombasa Kuna hii ya kilifi 41km, mazeras another 40km, ongeza bypasses na Barabara za ndani za mjini.
 

Unanifanya nakutukanaga kwa kuongea uongo wewe. Pitia hiyo post yangu hapo juu. As of now there 183km of dual carriageways in Dom.
 
Zitaje hapa ushatajiwa kuna iyumbu to udom 12 km
Kuna km 21 ndani ya magufuli city na bado vibarabara vidogo hatujaweka mfano njiapanda ya msalato kwenda msalato airport hizo zote zimeishia haya leta za Mombasa tu tusiweke na county nyingine
 
Unanifanya nakutukanaga kwa kuongea uongo wewe. Pitia hiyo post yangu hapo juu. As of now there 183km of dual carriageways in Dom.
Unanitukananga kisa nakutoanga ujinga kwa kukuambia ukweli. Mbona nipitie post yako ya utopolo tupu? Nimeipuuza kisa hamna Cha maana hapo. You lost credibility on the very first and obvious statement - Dodoma Outering road is 110km, not 150km. Ukisema uongo obvious kama huo inategemea nilichukulie serious kwa lipi tena?
 
Kwani ww unafatilia huu uzi kweli.? 🤣🤣 dom outer ni 110km, dom inner ring road ni 40km. Total ni 150km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…