Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yet hapo Dar 80% mnaishi kwa single room vyoo vya nje.
 
Mnakunya nje sio siri Dunia inajua.
Hivyo vibanda mnajenga huko kwenu vya mabati vya kupangisha vina choo ndani??

Au choo ndani kwenu ni FLYING TOILETS.

With your FLYING TOILETS mnatawaza vipi sasa, mkishakunya ndani?
 
Yale magugu kandokando ya Busisi bridge yameanza kutolewa 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DJr-6gYKihr/?img_index=2&igsh=MXM3eTJuc2hjeDNlaw==.
Safi sana hii ndio inatakiwa kila sehemu unaona government licha ya ufala at least haijaacha misingi ya nchi.

Cheki hii clip asee hat off wakati wenzetu wanapuliziwa kuua JIGGER
Hakuna utani kwenye kilimo alafu kuna kenge anakuja eti wakulima kutoka Kenya.


View: https://www.instagram.com/reel/DJGjBvUqmEn/?igsh=MWd4ZW50c2t2dmRjOQ==
 
Ila usishangae wanageuza wanasema tumewaiga.

Imagine tumewaiga BRT na BRT hawana na walivyojaribu walichora lipstick ikafa. Imagine tumewaiga na hawana hata ujuzi wa Deport wala bus station.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…