Picha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.
About umeme, this picture summarizes everything. Tunajua ni wapi ndio Kuna nyumba hazina umemekatinya Nairobi na DarView attachment 3333462
Mambo na maji usitaje wakati sewer system yenyewe hamjui ni nini. Water system and sewer system go hand in hand View attachment 3333466
Hakuna anayekataa corruption iliyopo Tanzania na hayo mabango ya kusifia wanasiasa, wengi wetu hapa tunayapinga wazi wazi. The only one anayesifia huo ujinga hapa ni ChoiceVariableA very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership. Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption. Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba. 90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu. Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao.
Dar haina slums, ni fantasy tuu mliyonayo wakenya.Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.🚮🚮🚮
Hapa mwenyewe unapata faraja 🤣🤣🤣kwa idadi ya madaraja mnatuweza.? Huko kwenu hali ikoje.? 🤣🤣🤣
Kambi ya wakimbizi hii na hao ni wakimbizi kaka.Kuna yule aliambiwa kigoma kuna udogo mwekundu lakini watu wake hawana funza. Hii ni katikati ya kijiji huko Kigoma na huyo apa ni msanii wao. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJjLAcQskH3/?igsh=cWExaGdydGY2MHo0.
Nyinyi hata mumeshindwa na Uganda, hufai kuongea.Mna kampuni mmoja tu ambayo ni dominant
Listed company vipi ukizingumzia kampuni ambazo ni private kwa Tanzania zimezidi kampuni zenu za kikenyaNyinyi hata mumeshindwa na Uganda, hufai kuongea.
Kwetu hakuna MP anabebwa kwa mgongo.Hapa mwenyewe unapata faraja 🤣🤣🤣kwa idadi ya madaraja mnatuweza.? Huko kwenu hali ikoje.? 🤣🤣🤣
Hakuna anayekataa corruption iliyopo Tanzania na hayo mabango ya kusifia wanasiasa wengi wetu hapa tunayapinga wazi wazi. The only one anayesifia huo ujinga hapa ni ChoiceVariable
Sababu ya kuwa sisi kuwa na rasilimali ni kwasababu tumeilinda na majuzi tuu hapa baada ya wachache kuanza kuigawa hovyo tukaweka sheria ya permanent sovereignty of natural resorces ili kima yeyote atakayejaribu kuuza nchi akabwe kisheria.
Kwa hivo Tanzania inajibeba kivipi venye Kenya haiwezi jibeba? Nchi yenu yenyewe imekuwa kwa global radar juu ya kupika data yet the way you throw the word around one may think you have the most accurate data on the planet.Kenya haina uchumi mkubwa kuliko sisi, uchumi siyo data ambazo zinaweza kupikwa bali ni uwezo wa nchi kujibeba.
Dar haina slums ni fantacy tuu mliyonayo wakenya.
Here in Kenya he would be forced to cross the river himself so that he realizes what locals go through. Pale kwao anabebwa. @chomoto saidia hii watu yenu.
Kwani wewe hoja yako ni ipi MP kubebwa mgongoni au miundombinu.? 🤣🤣🤣🤣 kama hoja yako ni miundo mbinu ndio nakuuliza sasa mnatuweza likija suala la madaraja.? Jifanye kama unajikuna.Kwetu hakuna MP anabebwa kwa mgongo.
Hata hao Ug kampuni moja ndio ime dominate sana.Listed company vipi ukizingumzia kampuni ambazo ni private kwa Tanzania zimezidi kampuni zenu za kikenya
Sababu kuu ilikuwa hiii
BoT raises non-competitive bid threshold to boost participation
Tuesday, May 13, 2025
New Content Item (
1)BoT raises non-competitive bid threshold to boost participation
The non-competitive bidding window allows investors, particularly smaller or less experi-enced participants, to submit bids without competing on pricewww.thecitizen.co.tz
Kwani wewe hoja yako ni ipi MP kubebwa mgongoni au miundombinu.? 🤣🤣🤣🤣 kama hoja yako ni miundo mbinu ndio nakuuliza sasa mnatuweza likija suala la madaraja.? Jifanye kama unajikuna.
It's hard kujua market cap ya private company because the shares are not listed, we can only use revenue na we already confirmed Naivas pekee has more revenue than any company in bongoslum.Listed company vipi ukizingumzia kampuni ambazo ni private kwa Tanzania zimezidi kampuni zenu za kikenya
Sababu kuu ilikuwa hiii
BoT raises non-competitive bid threshold to boost participation
Tuesday, May 13, 2025
New Content Item (
1)BoT raises non-competitive bid threshold to boost participation
The non-competitive bidding window allows investors, particularly smaller or less experi-enced participants, to submit bids without competing on pricewww.thecitizen.co.tz
Bana, huku angevukishwa hio mto by force askie vile locals huskia. Huko bado wanalamba waheshimiwa.Here in Kenya he would be forced to cross the river himself so that he realizes what locals go through. Pale kwao anabebwa. @chomoto saidia hii watu yenu.