NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,341
- 19,731
πππHujawahi kufika TZ, kwasababu njaa kali nauli huna.
Hiyo Mikocheni huijui
Ulifkia uswahilini halafu unatupigia kelels humu poor boy. π€£π€£π€£π€£πππ
Ndio hiyo Mikocheni yenu. Picha nimezipiga mwenyewe.
View attachment 3333743
View attachment 3333752
Hiyo picha nimepiga hapo mwisho wa Bolt.ππ
View attachment 3333757
Ulifkia uswahilini halafu unatupigia kelels humu poor boy. π€£π€£π€£
Kwamba Mikocheni ni Nyumba moja???πππ
Ndio hiyo Mikocheni yenu. Picha nimezipiga mwenyewe.
View attachment 3333743
View attachment 3333752
Hiyo picha nimepiga hapo mwisho wa Bolt.ππ
View attachment 3333757
Ndio mitaa ya mikocheni B mzee kafikia π€£π€£π€£π€£Alifikia mitaa ya itv mikocheni bπ€£π€£π€£π€£π€£
Kila siku tunawaambia wataibiwa hawaelewiNdio mitaa ya mikocheni B mzee kafikia π€£π€£π€£π€£
Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.πKwamba Mikocheni ni Nyumba moja???
Leta video ya Mikocheni, siyo nyumba moja.
Huu ni UJUHA
Nani kabisha kama sio mikocheni wewe pumbavu.? π€£π€£π€£π€£Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.π
Uvinza hiiKuna yule aliambiwa kigoma kuna udogo mwekundu lakini watu wake hawana funza. Hii ni katikati ya kijiji huko Kigoma na huyo apa ni msanii wao. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DJjLAcQskH3/?igsh=cWExaGdydGY2MHo0.
Huo ni mtaa ambao Haina maajabu hapo Kuna mama ntilie kibao kwa ajili ya viabarua wanaotoka viwandani hukoπ€£π€£π€£π€£ bisha kama sio mikocheni b ( industrial area)Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.π
Una nuru iliyopo kwa raia wa kigoma bush leta sasa ya kenyaKuna yule aliambiwa kigoma kuna udogo mwekundu lakini watu wake hawana funza. Hii ni katikati ya kijiji huko Kigoma na huyo apa ni msanii wao. ππΎ
View: https://www.instagram.com/reel/DJjLAcQskH3/?igsh=cWExaGdydGY2MHo0.
Mikocheni hii hapa na mipaka yake. ππΎNani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.π
Sasa unaposti nyumba moja halafu unageneralise, Mikocheni?Nani Kasema ni nyumba Moja. Nimepost picha ya Mikocheni hapo. Mnabisha eti sii Mikocheni. Mmezoea kuficha mapungufu yenu Hadi hamuamini mkionyeshwa. No wonder Kila mara mna hasira dhidi ya foreign media maanake wao ndio Wana courage ya kumuambia ukweli.π
Ulitaka nipige nyumba zote Mikocheni picha ndio nipost? Wakati mnapopost lane Moja ya Kilimani yenye pothole mbona huoni shida hapo? πSasa unaposti nyumba moja halafu unageneralise, Mikocheni?
Una akili timamu?
Picha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.
About umeme, this picture summarizes everything. Tunajua ni wapi ndio Kuna nyumba hazina umemekatinya Nairobi na DarView attachment 3333462
Mambo na maji usitaje wakati sewer system yenyewe hamjui ni nini. Water system and sewer system go hand in hand View attachment 3333466