Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who told you that Upper Hill, Lavington, Kileleshwa, Kilimani, South B and South C are posh estates? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Those are middle-income areas and have apartments just like the rest of Nairobi. Posh estates za Nairobi ni Runda, Karen, Muthaiga, Kyuna, Lower Kabete, Rosslyn, Kitisuru and Gigiri. Hayo maeneo you'll never find apartments hata kidogo.

Runda ndio real estate company gani?

Hiyo pipeline unayotaja has better houses than your sprawling uswazi hovels

About apartments in Tanzania, you are basically confirming what one of us said a few hours ago; mitanganyika wanerundikana kwenye hizo nyumba zenu za uswazi. Apartments are reserved for the city's elites ndio maana zinapatikana hadi kwenye mtaa wenu nzuri kuliko zote Masaki
 
Hiyo SGR train ilikuwa mbwembwe na siasa tu.

Hakuna mtu anaitaka tena.

Haina tofauti na Meter gauge.
Hakuna mtu anaitaka tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
If wishes were horses...

Hakuna mtu anaitaka tena wakati revenue zinazidi kupanda 🀣🀣🀣
Enyewe wivu ni kitu mbaya
 




The number of passengers using the Standard Gauge Railway (SGR) dropped by 282,000 last year compared to 2023, according to the latest data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS). In 2024, a total of 2,447,000 passengers used the SGR, a drop from the 2,729,000 who used the service in the previous year.
 
Hizi sio data za kupikwa leo? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…