Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo huko bongoslum kampuni za simu sio Internet providers? 🀣🀣 Maajabu.
Haha internet provider still yet Kuna specialized companies ziko specific kwa ajili ya kutoa huduma ya fixed internet mfano simbanet. Kwa hiyo hicho ulicholeta ni kamfano kadogosa sana ka internet provider na hata ukiangalia hakana mapato kwenye mawasiliano ya simu voice calls🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Hiyo ni isp company tu hakuna voice calls, huwez ilinganisha na hata zantel ya Tanzania kwa market share
Wakona voice call. Market share yao ya fixed broadband is bigger than any ISP company in Bongoslum. And it's fully owned by a Kenyan.
 
Wacha hata 40% serikali, Jamii Telecom is 100% owned by a Kenyan.
Ndiyo kampuni gn hiyo? Au ndiyo miongoni mwa zile kampuni 1000 za kikenya hapa bongo zenye jumla ya mtaji $500m? Yani kampuni 1000 za wakenya mtaji wake unazidiwa na kampuni mbili za watanzania kule Kenya 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…