Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣mbona maelezo kibao budaa.?? Hii vita ulisha lose.
Wewe sasa na haukua unajua malls hukua na anchor tenant. 🤣🤣🤣 Baada ya kujua umeshindwa hata kutetea points zako na ndivyo ulikua na kiherehere.
 
Huwa unasoma vitu kuelewa ama unasoma tu kujibu?
 
Wewe sasa na haukua unajua malls hukua na anchor tenant. 🤣🤣🤣 Baada ya kujua umeshindwa hata kutetea points zako na ndivyo ulikua na kiherehere.
Maelezo kibao 🤣🤣🤣🤣 ushakula za uso sasa unajaribu kubadili mjadala. Nimesema hunitoi kwenye reli.. zile ni ubanda au sio ubanda.? 🤣🤣🤣🤣
 
Umia pole pole. Unaona slums wapi hapa?



Achana na huyo mtanganyika. Wamejaza jiji lao na uswazi Kila sehemu wanadhani Nairobi hali ni hivyo hivyo. Now they're looking for excuses just so that they find solace. When you see them say foreighners wanamiliki apartments Nairobi, just know that ni maumivu just because they can't come close. Hata wao pia ni foreighners waje wajenge hizo apartments nao pia wawe wamiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…