Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiongozi hao nyangau hawajali hilo wao lengo lao kuu ni kumanage currency ili kuongeza uwezo wa kukopa tuu. akili yao ndio ilipoishia hapo tuu.
 
Ona hili lipumbavu lilivyo halijielewi.
Pharmacokinetics na pharmacodynamics haziunganishwi kutengeneza pharmacology.
Pharmacology inahusiana namna ya chemistry inavyo play part katika kuunda dawa.
Kwenye upande wa Organic and inorganic chemistry ndipo pharmacology inaelemea.
Hizo mbili za juu zinazungumzia namna dawa ifanyavyo kazi katika mwili na mengineyo yanayohusiana na hayo.
Huna unalolijua kazi kubwata tu.
Suala la sabuni lilikushinda utaliweza hili!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…