evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,774
Middle income wa dondoraOf course middle Income mkuu.
Middle income wa dondoraOf course middle Income mkuu.
Mapicha gani hizo mnaweka hazieleweki? Weka picha bila uoga na kama hamna maendeleo tulia hapana jichocha kwa mdomo.Mi siongei tarab kama ww.. Ngoja kiive nikupalase.. Mmeshapewa malink na ma link, mapicha kwa mapicha bado mnajifanya kujisahaulisha..
When it comes to sports tz is zero....at least Kenya has some international musicians like nameless, wyre,sauti Sol etcJust imagine that Diamond (with due respect to his talent) is their Brand Ambassador! A copy-cat at his best,can't express himself in international fora. Frankly,most Kenyans only tolerate his ilk for the sake of ujirani mwema! 😉
Dondora ni nini sasa ama ni jina lako?Middle income wa dondora
Hamna ni Jina la apartments anakoishi middle income mwaswastDondora ni nini sasa ama ni jina lako?
try to be serious😀😀😀😀When it comes to sports tz is zero....at least Kenya has some international musicians like nameless, wyre,sauti Sol etc
middle income ya kwenye makaratasi 😀😀Nchi karibia zote za middle income ziko na talent kama hawa....sijuui jirani yuko na talanta gani walahi...labda zanzibar
Apartments? Can you define Apartments and see how stupid you sound. Rudi shule ndugu usikubali kuzeeka na huu ujinga.Hamna ni Jina la apartments anakoishi middle income mwaswast
Povu DDDDApartments? Can you define Apartments and see how stupid you sound. Rudi shule ndugu usikubali kuzeeka na huu ujinga.
Nchi karibia zote za middle income ziko na talent kama hawa....sijuui jirani yuko na talanta gani walahi...labda zanzibar
hahahahahahaha.... duh!Ichoboy first trip to nai..
![]()
Umechengwa pande ya sports hamna kitu hapo LDC kazi ni JF kuwashobokea wakenya.try to be serious😀😀😀😀
Kama haujui kiswahili usinisumbue
Rudi shule babaa...pockets gani na wanasema 80% ya Tz.Haijawahi tokea Tanzania tukapokea donation ya chakula, kama umesoma vizuri hiyo article zaidi inazungumzia pockets za maeneo yanayokumbwa na upungufu wa chakula, hii inatokana na poor distribution of food, maeneo yanayozalisha chakula kwa wingi ni kusini mwa Tanzania, kukifikishachakula kufikia katikati, kaskazini na magharibi ya Tanzania ni sawa na kutoa chakula Mombasa hadi Juba, Tanzania ni kubwa sana, hivyo kusini kunakuwa na chakula cha ziada wakati sehemu zingine zinakumbwa na upungufu wa chakula, hatuhitaji msaada wa chakula toka nje ya nchi, just to improve food chain system.
Muhimu ni kwamba hatujawahi kuomba wala kupewa donation ya chakula kama South Sudan, Kenya, Ethiopia, Somalia na Yemen, nchi zinazo ongoza duniani kwa njaa na kupokea msaada wa vyakulaRudi shule babaa...pockets gani na wanasema 80% ya Tz.

Muhimu ni kwamba hatujawahi kuomba wala kupewa donation ya chakula kama South Sudan, Kenya, Ethiopia, Somalia na Yemen, nchi zinazo ongoza duniani kwa njaa na kupokea msaada wa vyakula![]()
![]()
![]()
Acha kukataa ukweli, World Food Organization wenye mamlaka ya kutangaza hali ya chakula duniani ambao wametangaza njaa Kenya, ndiyo wanaosema tatizo la upungufu wa chakula Tanzania ni very much localized na watu wanaohitaji chakula cha kununua kwa bei nafuu ni less than 150,000, out of 55 millions Tanzanians, wakati Kenya wanaohitaji chakula cha bure ni 4millions KenyansPretentious as always.....
Mwambie huyo mbuzi,tunalima mpaka tunalilia kuuza maindi nje baada ya kukosa soko ndani.Acha kukataa ukweli, World Food Organization wenye mamlaka ya kutangaza hali ya chakula duniani ambao wametangaza njaa Kenya, ndiyo wanaosema tatizo la upungufu wa chakula Tanzania ni very much localized na watu wanaohitaji chakula cha kununua kwa bei nafuu ni less than 150,000, out of 55 millions Tanzanians, wakati Kenya wanaohitaji chakula cha bure ni 4millions Kenyans