Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafosi kunifananisha na nyani.? Haya jione wewe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎView attachment 3322612
Hapo ndipo wanapopatiwa na wanasiasa wao,ruto aliteleza kipindi na kusema TZ tupo mbele kiuchumi zaidi yao,kunyan walimtukana sana juzikati akachenji gear angani kwa kuisema vibaya TZ,kunyaland yote iliripuka kwa furaha πŸ˜ƒ,hata yale majina mabaya awamuiti sasa hivi πŸ˜ƒ
 
Umeoga leo wewe chokoraa?
 
Choo cha nje sio keamba ndani hakuna choo most houses in Tz huwa wanajenga extra choo outside kwaajili ya shughuli kama za sherehe au wafanyakazi including walinzi
 
Dar liquor stores zipo nyingi kuliko idadi ya nyumba, Kunyaland mnaonekana mmezijua juzi, FYI pombe ndio most tax-contributing-commodity in Tanzania so don't dare to rival with Tanzania wherever pombe mentioned

 
Leo Umeamua kuwavua nguoπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Hata ukihesabu tu floors from outside utapata 35 floors.
Kuna wakati akina Geza Ulole walikwamilia eti ni floors 44. Kila mara Ze only tower with over 40 floors in Isti Afirika. Hadi nikawatolea video ya architect mwenye alidesign (who is Kenyan btw) akisema ni 35 floors lakini wapi. Kelele ilipunguka tu vile GTC ilijengwa.πŸ˜‚
 
Vitu kwa ground vinabadilika kwa spidi ya mchongoko πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ ila bado watu wanatumia kigezo cha gdp

View: https://vm.tiktok.com/ZMBwAFdAf/

Bro, small time business people buy stuff everywhere. Hata ukija huku Kenya utapata Wabongo wakinunua vitu. Nenda Uganda utapata Wakenya na wabongo wakinunua vitu. Sijui hii excitement yenu ni ya Nini.
 
Kenyans' obbsession with high rise buildings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…