Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa umeibuka kutoka wapi aisee, you've been a breath of fresh air.
Kama huijui Kenya, utamchukia Nyerere, utachukia ujamaa wake na utaona tumechelewa sana.

Tangu nitembelee Kenya.

Nawaambia Watanzania jivunieni nchi yenu, na hakikisheni watu hawaichezei.

Ukitoa hiyo GDP na thamani ya shilingi wanayotamba nayo, Kenya hawana kitu kingine.

Hali ni mbayaaa. Nikisema mbaya namaanisha mbayaaa.

KUna wakenya walikuwa wananunua pumba TZ, na siyo kwamba wanaenda kulisha mifugo, noo.

Wanaenda kusaga Unga wa ugali😂😂
 
Our Port is CHEAP compared to Mombasa.

You just took advantage of the efficiency na short routes to Uganda.

With time, when our 160km/hr Speed electirc train is complete, MV Mwanza is complete, Magufuli Bridge is complete., Mwanza Fela Dry Port is complete.

How will you compete???

 
Source imeandikwa vizuri sana hapo chini bottom left. Wacha kujifanya pumbavu.

View attachment 3318590
Sasa tuletee source kutoka United Nations Human Settlements Programme 🤣🤣🤣 Propaganda za kishamba hizo. Ni za mikaka ya 1960s

Mpaka yesu anarudi huwezi kuleta data kutoka : United Nations Human Settlements Programme
 
Hayo tunayafahamu, nachofurahi siku hizi kizazi kipya kipo well informed, hakicheki na kima. 16yrs ago alikuwa ni Geza Ulole peke yake akila sahani moja na kina nomasana.
 
Cheap is nothing if the cargo will spend entire month at the port which will finally results to increased price due to storage cost.

MV Mwanza only carries 400tonnes against the Two MV Uhuru II and I which does 1,800 and 1,260 tonnes respectively.

Your trains will only stop at Mwanza will our SGR trains will get inside Uganda, so who has the advantage there? Remember Mombasa to Malaba is shorter than Dar to Uganda Border.
 
Sasa tuletee source kutoka United Nations Human Settlements Programme 🤣🤣🤣 Propaganda za kishamba hizo. Ni za mikaka ya 1960s

Mpaka yesu anarudi huwezi kuleta data kutoka : United Nations Human Settlements Programme
 
how can you host opening and closing ceremonies kwenye uwanja hauna extra space kama running tracks. Hapo Talanta itakuwa shida kidogo.
Kwani AFCON itakuwa tournament ya Athletics? Mbona unareason Kama kondoo?😂😂🤣
 
I don’t expect a baboon like you to know how AI search engine works. AI will only tell you what you want to hear.

View attachment 3318534
Mbona wewe unakua zezeta always au just ubishane 🤣🤣🤣 sahii karibu 95% of all our goods we import them from china. 🇨🇳. Sasa majibu ya kulipia duty haya hapa. 👇🏾🤣🤣🤣 accept that you niggaz are poorer, you can’t compete us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…