Hata Ruto ana majirani zake slum dwellers😁na kamejaa maslums kila kona, naislum ipo packed na slums na watu wengi zaidi wanaishi kwenye slums, maeneo posh wanakaa watu wachache sana sababu mengi unakuta ni mapori makubwa yenye nyumba mbili tatu. Angalia hii infinity pool of gigantic slum
View attachment 3318452