Kwa kifupi kuanzia hiyo 1963 🇹🇿 haijawahi kosekana kwenye maamuzi ya kumchagua papaHome > MSRC > DIGI_COLLECT > MANUSCRIPTS >PITTCOURIER_IMAGES > PITTCOURIER_RELIGION > 48
PITTSBURGH COURIER: RELIGION
Clergy - Cardinal Laurean Rugambwa (center) with Unidentified Cardinals
Creator
Identifier
PCM-02091
Description
Laurean Rugambwa (July 12, 1912 - December 8, 1997) was the first modern native-African Cardinal of the Catholic Church. He was elevated to the cardinalate in 1960 and served as Archbishop of Dar es Salaam from 1968 to 1992. In June 1963, following the death of Pope John XXIII, Cardinal Rugambwa became the first "negro" cardinal in the Catholic Church's history to attend the Pontiff election.
Clergy - Cardinal Laurean Rugambwa (center) with Unidentified Cardinals
Laurean Rugambwa (July 12, 1912 - December 8, 1997) was the first modern native-African Cardinal of the Catholic Church. He was elevated to the cardinalate in 1960 and served as Archbishop of Dar es Salaam from 1968 to 1992. In June 1963, following the death of Pope John XXIII, Cardinal Rugambwa...dh.howard.edu
Hatupigi kelele bro, tumetulia tukiwaangalia mnavyotoa machozi za chuki 😂😂😂Uwanja mmoja tu kelele Dunia nzima mngekuwa mnajenga viwanja walau viwili kama tZ si ndo tusingeenda hata chooni
Rais vipi toka lini bidhaa za ndani zikawa bei kubwa kwa ajili ya nchi nyingine?Kwa LDC lazima bei ya vitu ikuwe tu cheap.
View: https://x.com/MutembeiTV/status/1915109797294116995
Hamna kitu cha kujitapia mnaproject zisizozid mbili sisi tuna project zaid ya kumi zinaendelea na hatupigi kelele kama nyinyi.Hatupigi kelele bro, tumetulia tukiwaangalia mnavyotoa machozi za chuki 😂😂😂
Which income?We tour because we have disposable income, nyinyi hukuja Kenya kama omba omba na wauzaji wa mitumba.
Kwanini bidhaa za ndani za zisiwe bei rahisi ili kuvutia wanunuziRais kilaza toka lini bidhaa za ndani zikawa bei kubwa kwa ajili ya nchi nyingine?
Yaan hapo ni msaada Tena wachakula ingekuwa ni msaada wa vifaa vya ujenzi sawa. Sawa hawa na GDP kubwa wanashindwa kujenga mabwawa ili wazalishe chakula. Ila kwanza twende nao hivi wake washtuke tuko mechanized na cost of production ipungue washindwe kucompete nasisi kwenye uzalishaji. Kwani turkana na singida Kuna tofauti ganiWhich income? View attachment 3318248
Yanatutegemea kwenye kila kitu, siku Tanzania iamue kufunga mipaka yanakufa yote na viwanda vyao vinakufa sababu hakuna raw materials na energy, umeme wao ni ghali sana kuweza kuzalisha competitive goods ndio maana viwanda vyao vingi vinatumia coal ya Tanzania sio umeme, siku tunawanyima coal cement, nondo na products nyingi watanunua mara 10 ya kawaidaYaan hapo ni msaada Tena wachakula ingekuwa ni msaada wa vifaa vya ujenzi sawa. Sawa hawa na GDP kubwa wanashindwa kujenga mabwawa ili wazalishe chakula. Ila kwanza twende nao hivi wake washtuke tuko mechanized na cost of production ipungue washindwe kucompete nasisi kwenye uzalishaji. Kwani turkana na singida Kuna tofauti gani
Kenya ni kiburi tu ya Capitalism.Yanatutegemea kwenye kila kitu, siku Tanzania iamue kufunga mipaka yanakufa yote na viwanda vyao vinakufa sababu hakuna raw materials na energy, umeme wao ni ghali sana kuweza kuzalisha competitive goods ndio maana viwanda vyao vingi vinatumia coal ya Tanzania sio umeme, siku tunawanyima coal cement, nondo na products nyingi watanunua mara 10 ya kawaida
View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=WAbgKRyLzDKItjhmesGOOw&s=19
Ila bado wako online wakisambaza chuki nyingi dhidi yetu! Mbwa sana gawa! BTW hivi kwann hatuzalishi umeme kwa coal Tanzania?Yanatutegemea kwenye kila kitu, siku Tanzania iamue kufunga mipaka yanakufa yote na viwanda vyao vinakufa sababu hakuna raw materials na energy, umeme wao ni ghali sana kuweza kuzalisha competitive goods ndio maana viwanda vyao vingi vinatumia coal ya Tanzania sio umeme, siku tunawanyima coal cement, nondo na products nyingi watanunua mara 10 ya kawaida
View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=WAbgKRyLzDKItjhmesGOOw&s=19
Hii mambo ya LDC si huwa inawaumiza sana😂😂🤣🤣how we travel
LDC
View attachment 3318273View attachment 3318274View attachment 3318275View attachment 3318276
LMC
View attachment 3318278View attachment 3318279View attachment 3318280View attachment 3318281View attachment 3318282View attachment 3318283View attachment 3318284View attachment 3318285View attachment 3318286
Yet balance of trade favors Kenya, when was the last time Kenya had a negative trade balance against LDC?Yanatutegemea kwenye kila kitu, siku Tanzania iamue kufunga mipaka yanakufa yote na viwanda vyao vinakufa sababu hakuna raw materials na energy, umeme wao ni ghali sana kuweza kuzalisha competitive goods ndio maana viwanda vyao vingi vinatumia coal ya Tanzania sio umeme, siku tunawanyima coal cement, nondo na products nyingi watanunua mara 10 ya kawaida
View: https://x.com/peteklemenza/status/1824449386144727391?t=WAbgKRyLzDKItjhmesGOOw&s=19
Hawajaacha kudanganya, hakuna statistics yoyote genuine wanatoa, lots ni fake you can see hata Rais wao kila siku wanamkamata akisema uongo, wao kidogo ndio wameamka baada ya kudanganywa kwa muda mrefu cha ajabu lawama zote wanampa kasongo wakati kiuhalisia hakuna Rais wao hata mmoja aliacha kuwadanganyaKenya ni kiburi tu ya Capitalism.
Na zamani walikuwa wanatudanganya kwasababu tulikuwa hatuijui Kenya vizuri.
Baadhi yao wanaokuja Tanzania, ni kama wameanza kushtuka ila wengine wako kwenye Denial stages za taarifa za Google, GDP na thamani ya sarafuHawajaacha kudanganya, hakuna statistics yoyote genuine wanatoa, lots ni fake you can see hata Rais wao kila siku wanamkamata akisema uongo, wao kidogo ndio wameamka baada ya kudanganywa kwa muda mrefu cha ajabu lawama zote wanampa kasongo wakati kiuhalisia hakuna Rais wao hata mmoja aliacha kuwadanganya
Umeme wa coal ni complex na unatakiwa kuwa co-related na mining activities kama ilivyo uzalishaji wa umeme kwenye sugar factories lasivyo ukiwa ni sole production unakua gharama sana, ila project ya mchuchuma tunayoambiwa inaanza mwaka huu, itazalisha megawatts 600Ila bado wako online wakisambaza chuki nyingi dhidi yetu! Mbwa sana gawa! BTW hivi kwann hatuzalishi umeme kwa coal Tanzania?