ethiopia wanajenga the biggest dam in africa ambayo itazalisha umeme 5000MW na ujenzi uko mwishoni sasa usione hawana akili na hio reli wameanza operation october this year so usijifananishe na ethiopiaπI hope we're reading on the same page..... tangu last year ni trials and testings na huku hakuna stima, changamoto kila pahali.... afadhali yetu inachana mbuga kisawasawa.
bottom line... we had a good deal.
london hawana vibanda vya kufugia kuku kama airport broπππHawaamin wanahic hapo london hahahahaaaaa
Uganda is richer than Ethiopia...sembuse kenyaethiopia wanajenga the biggest dam in africa ambayo itazalisha umeme 5000MW na ujenzi uko mwishoni sasa usione hawana akili na hio reli wameanza operation october this year so usijifananishe na ethiopiaπ
saa hizi ndio wanajenga dam baada ya kuona mambo yameshindikana sio?ethiopia wanajenga the biggest dam in africa ambayo itazalisha umeme 5000MW na ujenzi uko mwishoni sasa usione hawana akili na hio reli wameanza operation october this year so usijifananishe na ethiopiaπ
Hiyo ni ile ile barabara yetu? Kwani Dar is barabara tu moja inapitia CBD? This is funny...Hahahaha.Dar es salaam cropped from earlier photo
Hata yeye ni slay queen vile ako na ka-umama kiasi ya noma.we pia unaangalia Nairobi Diaries??
Maneno ya wakosajiHata yeye ni slay queen vile ako na ka-umama kiasi ya noma.
Pwahahahaha!! hizi treni walinunua mwaka 2016...heri zile zetu za diesel...hizi lazma zinatumia kuni
endelea kujipa hopesπππUganda is richer than Ethiopia...sembuse kenya
Hiyo ni ile ile barabara yetu? Kwani Dar is barabara tu moja inapitia CBD? This is funny...Hahahaha.
Loud and clear buddy. Where is Morogoro as Famously said/sang by TMK Wanaume Dar mpaka Moro.You got know nothing buddy about Dar.....
Atiii "yooh hiyo ni ile ile barabara yetuu??" "Atii kwani Dar is barabara tu moja inapita CBD?"
good question, well one of advantage of this thread is everybody to understand ours region city giants even you got to be here(Dar) or we got to be there(Nai)
The thing is this, the road that you actually say about is New Bagamoyo Road that started from Morocco to Mwenge and on that corridor there's a bug massive establishment where dft offices allocated there then make it up the second CBD in Dar
When we talk about roads that enter CBD there almost 5 highways + one Fast truck towards there
>Ali Hassan Mwinyi Road, this extended from Morocco where New Bagamoyo road ends too to CBD about 9 Km's
>Morogoro Road, the one you see on photo and claims that is it only road towards CBD in Dar??? the answer is that, BIG NO.... that's the biggest road in the country starts from Bibi Titi Mohammed Junction ( where CBD starts) to Morogoro, the Km's it has ni habari nyingine and that's the road that the BRT 1st phase starts
>Uhuru Road, all the way from Buguruni to CBD
>Nyerere Road, starts from Airport to CBD ( origin from Gongo la Mboto )
>Kilwa Road, starts from Mbagala, where the BRT 2nd phase will be built starting this June'18
>Kigogo/Jangwani Road, ni ki_bypass cha huku the fast truck where no jams it widely by pole who avoided the traffic jams it used by Morogoro Road users + Uhuru Road users
.
.
You got me boy!!!
Welcome to Transition City
And some people wonder why Kenya is famous in the world. Bendera ya South Africa, Nigeria and Kenya zinajulikana Dunia mzima in fact Our Flag is among the most beautiful.CULTURE & LIFESTYLE EDITION
Kenya's Contribution to Global Film,Showbiz & Entertainment Industry
Hollywood Star: Lupita Nyongo
hahaha Kwanza kabla yayoote Sikiliza Nyimbo hizoππππππ
Loud and clear buddy. Where is Morogoro as Famously said/sang by TMK Wanaume Dar mpaka Moro.
And some people wonder why Kenya is famous in the world. Bendera ya South Africa, Nigeria and Kenya zinajulikana Dunia mzima in fact Our Flag is among the most beautiful.
asante sana mdau kwa kulitambua hiloNairobi city mko vizur ...ongezeni bidii
πππDar city muongeze bidii zaidi