ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,310
- 89,719
Unajua commuter rail ni nini?In case you donβt know hizi commuter rail tunazo 3 different routes tangu zamani. π€£π€£π€£ hizo plan ulizoskia wakisema ni kujenga reli mpyaa lines mbili two different directions . DSM commuter train ππΎ
View: https://youtu.be/4Hxz13ry9nY?si=A3FTz_DaIOadOAf0. Routes nyingine hii ππΎ
View: https://youtu.be/sX729Am_E-M?si=Lqqqp9NTs3Dtzip4.
Unlike Dar, Nairobi huwezi jaribu uongo. Efidens iko kwenye kalatass, hapo ni furniture stores all the way, enda google street view ujiangalilie. Try something else
Wivu hukumaliza brathe utashinda ku zoom kila kona si utaumwa na vidole? you are proving nothingOna mlivyo wazembe mpaka leo mmeshindwa japo kujenga hizo road za chini hapo, kila kitu mmemuachia mchina awafanyie ππView attachment 3310762
Yaan mkaenda kununua dmu decommissioned na kuziweka kwenye mgr bado unakuja kupiga kelele humu.Unajua commuter rail ni nini?
Unlike Dar, Nairobi huwezi jaribu uongo. Efidens iko kwenye kalatass, hapo ni furniture stores all the way, enda google street view ujiangalilie. Try something elseView attachment 3311115
Alienda kutafuta Cassypool after watu wa Eldoret wamlenge ju hawakua wanamjua. Hata mimi huyo Jay Melody simjui.Tunaendelea kuwatawala Kundustan kwenye nyanja zote za kiuchumi Hadi kijamii ππ
View: https://www.instagram.com/p/DIrbpxyIWF9/?igsh=d3F5Mm53bno1Y21m
Excuses π πAlienda kutafuta Cassypool after watu wa Eldoret wamlenge ju hawakua wanamjua. Hata mimi huyo Jay Melody simjui.
Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? π π π πThe average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
Unanitag nini stori za umama broβ¦ I really donβt care about showbiz..to bring the point home, I even donβt attend my first cousinβs weddings, high profile or not.. I suggest you retain the manhood left in you and leave such stories to the women bruvI suspect this Wedding....
View: https://x.com/KenyanSays/status/1913820496472244702
MY TAKE
View: https://youtu.be/CSNynoAiY_I?si=6HqvXmHibG5bXaXs
Ngoja akawachezeshe "sugar" wakina Raila na Ruto huko!
View: https://youtu.be/yp03C6j68a0?si=DRym7EqRX64dxeeQ
Kwani huko Ukunyani Willy Paula na Erick Omondi hawapo? Halafu naona Nandy kakodisha charter flight toka Auricair! Vp wale Wakunya waliokuwa wanasema hakuna ndege za kukodi?
CC: IamLee NairobiWalker Teargass Nicxie nairobae n mwathadan
Kwanini tupigizane kelele na vikampuni vya kuuza ubuyu mzee.? π€£π€£π€£And which is the most profitable company in Bongoslum? How much did they make?
Shugulika na umbea na picha za harusi, it's clear hakuna kampuni hata moja bongoslum with such profits.Kwanini tupigizane kelele na vikampuni vya kuuza ubuyu mzee.? π€£π€£π€£
Profit ipi.? hiyo ya biashara ya ubuyu.? π€£π€£π€£Shugulika na umbea na picha za harusi, it's clear hakuna kampuni hata moja bongoslum with such profits.
Bana nakuanga tagged vitu za ati wasee wanaona broo. Like izo tabia sio familiar kwangu bana nime attend arusi ka mbili in my life na ilikuwa lazima ππPia me sijawai ona wanaume wanafurahia harusi, maajabu. Hizo hua vako za madem.
Hiyo iliuziwa mtu mwingine wewe mzee.Anamaanisha Hima cement iliyokuwa chini ya Bamburi!
Alisema mwenyewe atanizaba makofi sasa nashangaa mtu mbilikimo kama huyo atawezaje kunizaba makofi? Yani hata nikisimama nimwachie anizabe bila resistance yoyote hatoweza.π€£ π€£Inakuwaje tena unataka kuchapwa kofi hoja zimekushinda? π π π π
Hakuna kitu anapata Uganda.yes 70% is already sold n now mwanaume Amsons group wants to buy the rest n probably buy them out!
Iβm done with this guy πππHizi ndio mnaona leo.? π€£π€£π€£soma tarehe hiyo. ππΎView attachment 3310887View attachment 3310889tochi za barabarani hizo Ndio tunaita huku bongo.
Only ongoing project in Kenya ndo maana viongoz wenu wanakuja kujifunza efficiency tanzania