concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Kwa kuwa na idadi kubwa ya shares na sio kuwa ndo the most profitable company au the largest company by assets.Does that change the fact that it's the biggest company in East Africa?
Biggest in what sense ? Unaweza leta statement of financial position tuone type assets owned.Does that change the fact that it's the biggest company in East Africa?
Sasa kubali kwamba safaricom ni kubwa kwa kuwa na share nyingi lakini haiwezi kuwa ndo yenye mapato makubwa. Tofautisha mauzo au faida na hisa .Market cap sio maoni, it's calculations of a company's shares.
Does that change the fact that it's the biggest company in East Africa?
Safaricom is still the biggest company in East Africa by profits and revenue.Kwa kuwa na idadi kubwa ya shares na sio kuwa ndo the most profitable company au the largest company by assets.
Assets = liability + equity
Sasa ukiangalia safaricom Ina madeni mazito na idadi kubwa ya shares huwez compare na kampuni kama metl mwenye mtaji mkubwa na hapo hajaweka hisa zake kwa ajili ya kuuziwa akisema aweke hata safaricom haiwez fikia hata robo.
Halafu jifunze mentality ya wafanyabiashara watanzania mfano wa amsons ana amini katika kuwa full mmiliki badala ya kugawana shares usumbufu unaochelewesha ukuaji wa kampuni.
Leo safaricom ikipata kashfa kidogo watu wanatoa pesa zao inafirisika kabisa.
Profits? Haha unauhakika? 42bil? Uko seriousSafaricom is still the biggest company in East Africa by profits and revenue.
Uwezo wako wakusoma taarifa za fedha bado ndogo sanaSafaricom is still the biggest company in East Africa by profits and revenue.
Several of Dangote's biggest companies are listed in the Nigeria's Stock Exchange, sasa sijui hata unajaribu kujustify nini.Jifunze kwanini matajiri wengi wa tanzania hawataki kuwekeza kwenye hisa au kuziuza kabisa
Aliko Dangote does not frequently sell shares of his companies, likely due to a strategic desire to maintain control and influence within his business empire. He has been known to issue and then repurchase shares within his own companies, potentially for strategic reasons like influencing ownership or facilitating internal transactions, rather than a typical public sale. His ownership of Dangote Industries Limited, which operates in sectors like cement, sugar, and ports, allows him to maintain a strong presence and leadership within the Nigerian economy and beyond.
Dangote group ambayo ndo kampuni mama Iko registered ? Kwani hajairegister hii. Nyingine ameregister kutokana na biashara au regulation zinavyotaka .Several of Dangote's biggest companies are listed in the Nigeria's Stock Exchange, sasa sijui hata unajaribu kujustify nini.
Najua unaniogopa. Mimi huwa siongei propaganda and bullying comments mimi naongea factsHizo zenye ziko dotted ni za vumbi. 🤣 🤣
Hio 42 Bil is for Safaricom Group due to the losses made in Ethiopia, Safaricom Kenya made a profit of 82B. Na hata hio 42B Safaricom Group is still profitable than all companies in Bongoslum na hata sijaguza KCB which is the most profitable Group in EA. Note better, this is profit after tax.Profits? Haha unauhakika? 42bil? Uko serious
Dangote Group is a private conglomerate, but several of his companies like Dangote Cement and Dangote Sugar are traded publicly. Sasa ukisema he does not sell shares of his companies ulikua unamaanisha nini? ama hizo nimetaja sio kampuni zake?Dangote group ambayo ndo kampuni mama Iko registered ? Kwani hajairegister hii. Nyingine ameregister kutokana na biashara au regulation zinavyotaka .
Naona watchman kaumia 🤣🤣🤣Ona mlivyo wazembe mpaka leo mmeshindwa japo kujenga hizo road za chini hapo, kila kitu mmemuachia mchina awafanyie 👇👇View attachment 3310762
Heb bishana na hizi takwimu hii ni financial statements ya Safaricom from their website 🤣🤣🤣👇🏾Hio 42 Bil is for Safaricom Group due to the losses made in Ethiopia, Safaricom Kenya made a profit of 82B. Na hata hio 42B Safaricom Group is still profitable than all companies in Bongoslum na hata sijaguza KCB which is the most profitable Group in EA. Note better, this is profit after tax.
View: https://x.com/StocksMarket_ke/status/1900183869002858967
Currently there’s a BRT pilot by namata at RT 111 it’s been going for like 3/4 weeks now.. I heard the buses are on transit.Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄
And which is the most profitable company in Bongoslum? How much did they make?Heb bishana na hizi takwimu hii ni financial statements ya Safaricom from their website 🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3311105na hii Ndio net profit Yao.? 👇🏾View attachment 3311106Haya tueleze taarifa za huyo mita tweet katoa wapi.? 🤣🤣🤣
Tukinunua kwao wanajipiga kifua ati wanatulisha, tukinunua kwingine wanalia 😂😂😂
Migori to Mandera - 1,380kmsNajua unaniogopa. Mimi huwa siongei propaganda and bullying comments mimi naongea facts
Kama unataka tuingie kwenye facts nakupatia challenge hii
Tupatie barabara 3 hapo kenya zenye urefu wa 1000+KM