Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bamburi ya Uganda ilishauziwamtu mwingine kitamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

You thought that mwarabu was getting full package?
utalia sana mwaka huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo wakipata faida letsa usd 2bil wanabaki na 700mil tu wakati nyingine yote inavuka mipaka wakati metl alipata hata 1bil inabaki yote Tanzania .
Mimi nawaza tu kutokana na faida yao hii kama mchicha wanayopata kulingana na report yao hii. Dividend watagawana Sh. ngapi ngapi? Na serikali ya Kenya itapata Gawiwo la kiasi gani? πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

 
Mwanaume straight hawezi ingia online kusifia harusi, hawa wote humu huwa wanadinyana nyuma.
 
Unajuwa maana ya ksh'm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣 🀣 Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh 35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?

Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. 🀣🀣🀣🀣
 
Bado hii ndege ya Kenya inkuwasha. Haya basi, ebu fuatilia hio ndege pale flight radar alafu utuambie baada ya kudrop Diamond ilienda nchi gani. Niko hapa nangoja jibu.🀣🀣
kwani Ukunyani hamna politician clients?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…