Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka recent numbers, bongolalas tunawajua Kwa guesswork.

Another guess work, unaulizwa a very simple question unajibu na hearsays. Weka revenue, hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
Sina cha kukusaidia kijana, we kama umeamua kulia lia tu. 🀣🀣🀣🀣
 
Sina cha kukusaidia kijana, we kama umeamua kulia lia tu. 🀣🀣🀣🀣
Naivas revenue in 2024 is ksh 96 billion na inajulikana peupe, tuapatie your revenue numbers for top 5 companies in 2024. Hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
 
Naivas revenue in 2024 is ksh 96 billion na inajulikana peupe, tuapatie your revenue numbers for top 5 companies in 2024. Hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
Siendi mbele na kurudi nyuma bwana govi. 🀣🀣🀣 kama umeamua kupigizana kelele. Kwaheri. Sipo hapa kulumbana Bali nipo hapa kuchangia elimu ya ninachokijua kwa Tz.
 
So unachukua GDP ya 2023 ya 79b alafu na debt ya Janurary 2025

Gdp ya 2024 ni 84billion usd

Plus that debt ni national debt sio goverment debt

Goverment debt extrenal ni 26 billion us internal ni 12.2 bil usd
 
Umeamua uombe usaidizi kwa serikali? Kweli Naivas imewaumiza vibaya sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
GDP ya 2024 bado haijatolewa wewe moongoose. Ngoja June this year ndio utajua GDP ya 2024 ni ngapi.
 
Umeamua uombe usaidizi kwa serikali? Kweli Naivas imewaumiza vibaya sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Imagine one Supermarket chain imefanya waunganishe kampuni zote za Bhakresa na Mo Dewji. Hadi wameenda kutafuta mining companies za wazungu lakini wapi, hawana numbers. 🀣 🀣
 
Humu humu huwa mnapost Nigeria ni ovyo alafu mnaongeza kama tu Kenya. Sijayasema haya maneno. Ni maneno yenu wenyewe. Mfano huu.

View attachment 3310081View attachment 3310085
Nigeria ni macousins wenu in hunger ila nyie mnanafuu. Wanamdomo mrefu kama nyie wa kijikweza na kuona wako mbele ya wengine ilhali ni bado sana. Wamepigiwa pamba wamejikunyata na kukubali muziki wetu, shwain!
 
Imagine one Supermarket chain imefanya waunganishe kampuni zote za Bhakresa na Mo Dewji. Hasi wameenda kutafuta mining companies za wazungu lakini wapi, hawana numbers. 🀣 🀣
Mbona mnakimbia? 🀣 🀣 🀣 🀣 Najua mnaniogopa sana πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…