Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Same as nairobi
Hamna sehem kubwa
Ni kaplace kadogo na vijengo vichache2
Si stori na majengo mengi hovyohovyo....ukiangalia harare ma pretoria tofauti ni kidogo sana....
shida yenu ni lazima muone density with no planning ndio mfurahi
 
If Nairobi was a coastal city, then yes I would have brought it but it is not....my point is, Abidjan and Luanda have better ocean views than Dar...pinga sasa nikuoneshe
Ongelea kenya hatutaki mambo ya luanda cjui abijan wee vip hahahahaha
 
Battle pembeni kwa dk chache
Kuna reli kutoka dar hadi Nairobi ila ilikufa miaka kadhaa ya nyuma baada ya ule umoja kuvunjika...je inatija kwa sasa mf ikifufuliwa? Swali kwa wote
 
Si stori na majengo mengi hovyohovyo....ukiangalia harare ma pretoria tofauti ni kidogo sana....
shida yenu ni lazima muone density with no planning ndio mfurahi
Meaning of city ni population na makazi
Thats all
 
so mumeleta abidjan nairobi imezidiwa???
abidjan imejengeka sehemu ya coast only sehemu zingine ni hopeless kabisa chunguza utaniambia
Hana exposure huyo usimlaum atajulia wapi daily anashinda uhuru park wifi ya bure hahahaha
 
suburb in somewhere nairobiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
View attachment 658120 View attachment 658121
Anko kwan hapo wanaishi watu????haiwezekan binadam aishi maeneo ka hayo haiwezekan..mi mtzee bt kwel watu wanaishi humo????uwiiiii mamaaaaaa daa viongoz wa kenya wana dhambi jaman, unawezaje ruhusu mtu akae mazingira ambayo hata ng'ombe hawez ishi daa polen ndugu zetu wakenya daaa ...this is sad
 
Si stori na majengo mengi hovyohovyo....ukiangalia harare ma pretoria tofauti ni kidogo sana....
shida yenu ni lazima muone density with no planning ndio mfurahi
Majiji yote ulimwengu wa kwanza yana density kubwa sana at a centre then pembeni ndiko kunakuwa na majengo yenye nafasi.
 
inakaa izo picha za Mabatini zimekuchoma sana
Hebu angalia hizo pcha za mabatin uone ka kuna hata nusu ya mfanano na hizo za kibera...ila ka si wote wana ea aseee viongoz wa kenya hawapo fair daaa huwez mwacha mtu akae mazngra ka hayo ambayo hata nguruwe na uchafu wake hawez ishi hapo
 
Sio among top ten anko mond ndio msaani wa kwanza kwa pesA east and central africa anaebisha anyoshe mkono
Hahaa aisee kweli mond hatarii , kamla ata huyu tunda bey[emoji3]
Kenya tumempa hii tuzoo[emoji122] [emoji123] [emoji95]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…