Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Hujui kwamba mihogo ni chakula cha masikini?Na Sina hata shida maana ni chakula ila wewe huna uwezo wa kuafford na una starve kwa njaa
Hujui kwamba mihogo ni chakula cha masikini?Na Sina hata shida maana ni chakula ila wewe huna uwezo wa kuafford na una starve kwa njaa
Hii mambo ya Kenya being an auto production country inaumiza sana watanzania.
View: https://x.com/roamelectric/status/1898439625863049617
Leo umekula chakula gani?Hujui kwamba mihogo ni chakula cha masikini?
Nani kakuambia ni chakula cha maskiniHujui kwamba mihogo ni chakula cha masikini?
Hana uwezo wa kuafford muhogo anahojiLeo umekula chakula gani?
Bongolala, I know you are stupid but never knew you are this thick. Hebu tuonyeshe picha ya semiconductor unayojuaSasa hiyo ni Semiconductor? 🤣🤣🤣🤣🤣 Mtoto wangu nilishamfundisha anajua vizuri sana kutumia arduino. Na dhani upo na gape kubwa sana ya elimu ya Electronics.
Hatua ya kwanza kabisa kwenye level ya juu. Hizi hapa ndio semiconductors. Tuambie kati ya hizi kipi mnazalisha?
Taja aina semiconductors mnazozalisha acha kukimbiaBongolala, I know you are stupid but never knew you are this thick. Hebu tuonyeshe picha ya semiconductor unayojua
Sitachoka kukupatia elimu. Niambie sasa kati ya hivi. Kitu gani mnatengeneza?Bongolala, I know you are stupid but never knew you are this thick. Hebu tuonyeshe picha ya semiconductor unayojua
Hii mambo ya Kenya being an auto production country inaumiza sana watanzania.
View: https://x.com/roamelectric/status/1898439625863049617
Akijibu nishtue kwanza niendelee kuvuta kilager changuSitachoka kukupatia elimu. Niambie sasa kati ya hivi. Kitu gani mnatengeneza?
View attachment 3307613
Again, ugua pole 🤣🤣🤣Hatua ya kwanza kabisa kwenye level ya juu. Hizi hapa ndio semiconductors. Tuambie kati ya hizi kipi mnazalisha?
View attachment 3307611
Hana huo uwezoNicxie kapotelea kusikojulikana 🤣 🤣 🤣 🤣
Vitron Sound System in made in Kenya.Tanzanian brand. Jizo sounds. Heb wakenya walete zao kama zipo 🤣🤣🤣View attachment 3307599View attachment 3307601
Hizo arduino circuit board zimejaa kila kona unaweza kununua na uka program. Mtoto wangu ameshatengeneza automatic door. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇Again, ugua pole 🤣🤣🤣View attachment 3307615
Kumbe hata components za kutengeneza semiconductors huzijuiAgain, ugua pole 🤣🤣🤣View attachment 3307615
Halafu ulivyomjinga huoni kabisa hapo juu imeandikwa raspberry pi 🤣🤣🤣🤣🤣Again, ugua pole 🤣🤣🤣View attachment 3307615
Sasa niwatajie nini na hamjui hata semiconductor ni nini? Si kilaza mwenzako alishasema this is not a semiconductor?Taja aina semiconductors mnazozalisha acha kukimbia