Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,848
Nile na wale ndugu zako hawajala? Huo ni ungwana kweli?Maskini siku zote Huwa mnajifaraghua hivi umekula au ndo tumefunga koki ya mahindi
Nile na wale ndugu zako hawajala? Huo ni ungwana kweli?Maskini siku zote Huwa mnajifaraghua hivi umekula au ndo tumefunga koki ya mahindi
Kwikwi na bado hatuzion mtaaan
Inawauma kweli kweli😂😂😂Vitu zinauma bongolala
![]()
Roam Unveils East Africa's Largest Electric Motorcycle Plant
Roam just launched East Africa's largest electric motorcycle plant, Roam Park. The 10000-square-foot facility will support mass production of the Roam Air.www.roam-electric.com
Kwikwi Tanzania hakuna shida nyinyi Mimi nilitoka nje tu nakutana na mihogo ya ksh 4 nakula mpaka nasaza ila wewe huna hata uwezo wa kupata huo muhogo na hata hiyo ksh 5 hunaNile na wale ndugu zako hawajala? Huo ni ungwana kweli?
Kwahiyo tukubaliane, bongo tunazalisha pikpik au atuzalishi.? I’ve shown you 3 different companies. Za kwenu ziko wapi.? 🤣🤣🤣🤣Asilimia kubwa ni 60% bongolala tushawazoea Kwa kuquote figures out of nowhere.🤣🤣
Ugua poleSasa hizo ndio semiconductors?
Spiro electric bikes.
View: https://x.com/SPIROEVs/status/1901912718481007035
Batteries are also made right here in Kenya.
View: https://x.com/SPIROEVs/status/1898441091927458173
Huku Tanzania Electric Sinoray motorcycle zimejaa kila konaVitu zinauma bongolala
![]()
Roam Unveils East Africa's Largest Electric Motorcycle Plant
Roam just launched East Africa's largest electric motorcycle plant, Roam Park. The 10000-square-foot facility will support mass production of the Roam Air.www.roam-electric.com
Unakula mihogo alafu unajigamba nayo hapa🤣🤣🤣Kwikwi Tanzania hakuna shida nyinyi Mimi nilitoka nje tu nakutana na mihogo ya ksh 4 nakula mpaka nasaza ila wewe huna hata uwezo wa kupata huo muhogo na hata hiyo ksh 5 huna
Na Sina hata shida maana ni chakula ila wewe huna uwezo wa kuafford na una starve kwa njaaUnakula mihogo alafu unajigamba nayo hapa🤣🤣🤣
No wonder mko hadi na shamba za mihogo Dar
Sasa hiyo ni Semiconductor? 🤣🤣🤣🤣🤣 Mtoto wangu nilishamfundisha anajua vizuri sana kutumia arduino. Na dhani upo na gape kubwa sana ya elimu ya Electronics.
Leo ndio umeanza kujifunza kutumia AI 🤣🤣🤣🤣🤣 Jifunze kwanza ML inavyofanya kazi ndio uje kujua kutumia gemini.
Kwahiyo hata video za viwandani huzitaki we unahangaika na google tu 🤣🤣🤣🤣 hili mbona zanwamwa hili..?
Hujui kwamba mihogo ni chakula cha masikini?Na Sina hata shida maana ni chakula ila wewe huna uwezo wa kuafford na una starve kwa njaa