Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
FB_IMG_1489777911447.jpg
 
Ahahahaa jamaa anazirudia akizirudia hahahahah acha utoto baba nairobi ni ndogo sana tena sana kwa dar hahhhahahahhahaha
yani hujioni vile umerudia tpa,pspf na rita mpaka ikakinai but unaona wenzako.....lol
 
Kwanza hua sitembei na miguu I have my own car ndio maana nikamwambia mwenzio athletes na barabara kwanzia lungalunga mpaka mombasa mjini sio analeta nzuri hahahhahaha

I have No time with you anymore.You are a novice. See, A fool is better off when he is a fool only but when it comes to a lying fool that is something else.
IMG-20170316-WA0003.jpg
 
Mmm, is this bitterness I am reading? Small or not, Nairobi is clearly more modern than Dar.
Ushaambiwa modern buildings ziko dar na zinajengwa huku kila kukicha kwa nairobi ni Barbara lakin pia msijisahau maana ngosha anajenga barabara kwa speed zote hapumziki na ametenga pesa nyingi sana kwa ajili ya infrastructure dar na mikoa yote,so be ready also
 
Kuanzia leo tambueni kuwa Kibera na Korogocho tumezihamishia Dar na sio Nairobi tena. As we speak ..tunafanya mazungumzo na Wikipedia along with google wabadili articles zote za hizo slums kuzihamishia Dar. 😉😉😀
 
vijisababu Vingi....nakumbuka uko nyuma ulijibiwa ivi ulivyojibu ukapayuka ni kwa sababu nai ni ndogo.
nimeshakwambia hesabu hua haibadiliki nairobi ni ndogo na itabaki kua ndogo sana kwa dar 😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuanzia leo tambueni kuwa Kibera na Korogocho tumezihamishia Dar na sio Nairobi tena. As we speak ..tunafanya mazungumzo na Wikipedia along with google wabadili articles zote za hizo slums kuzihamishia Dar. 😉😉😀
kabisa hahahah nimeshamwambia hata deepey maana yeye ndo analia sana na nyako maber😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom