Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Si juzi hapa chuchunge alikua anamuomba Sama boy 255 amtafutie Chupi.
 

Jamaa wanajikuta nani vile

Utasikia eti Tunaagiza Kenya Eastleigh na tunawauzia, usenge mwingi ule wa Wakulima wa Kenya walio Tanzania like seriously.

Mbongo gani anafata mzigo Kenya wa Mikoba na nguo nchi iliyoovertake Nigeria ya watu 100m kwenye Mitumba?
 
Tulikuwa tunaongelea gate charges wewe nguruwe. Najua huwa hamlipi tickets za kuwatch locals games, and for a Tanzanian to watch a match basi hiyo match kiingilio ni bure.
Kwani hizo gates sio mapato ya timu inayotumia kuendesha timu ikiwemo kulipa mishahara. Matarumbeta yote na hamuwezi lipa mishahara ina maan gani?
 
You've spoken just like a Tanganyikan.
How many times do you guys share tweets here from the same wazungus with words of praise everytime they mention something good about Tanzania? Hypocrisy of the highest order. Mtaumia na bado!
Do we go too extent mpaka kuwahusudu everywhere kulamba miguu? Kama nyie kunyans?
 
You've spoken just like a Tanganyikan.
How many times do you guys share tweets here from the same wazungus with words of praise everytime they mention something good about Tanzania? Hypocrisy of the highest order. Mtaumia na bado!
And for your info tunazileta kwa sababu ndio mabwana wenu mmepofuka sana hata tukileta data wabishi, sasa kwa kuwa mnapenda mabwana wenu why tusiwawekee.
 

08 April 2025
Nairobi, Kenya

Jiji letu Nairobi, zuri kwa drone lakini ukitembea kwa miguu ndiyo utaliona jiji ktk uhalisia wake


View: https://m.youtube.com/watch?v=LqrGTT8ikngThe Kenyan historian anakatisha mitaa ya mjini kati CBD ya jiji hili lenye sifa kibao Haile Sellasie, Kenyatta Avenue, Kimathi na mitaa mingine tajwa... matatu.... bodaboda ... wafanyabiashara wafunguka kuhusu jiji lao pendwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…