Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa, mko na sura. But soon you'll be homeless πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
View attachment 3293227

View attachment 3293226

Meanwhile, the ugly husband feeds his family πŸ˜€

View attachment 3293229
Nimekwambia huna akili unafikiri ni utani?

TRC ni shirika linalo endesha reli za aina zote SGR nad MGR, wewe umeleta hesabu za SGR tu toka Kenya na si hesabu za shirika kama ilivyo kwetu. SGR yetu ya abiria tu inafanya vyema zaidi ya yenu inayobeba abiria na mizigo.
 
Mbona umeandika utoto sn mzee hujala? Au Kigovi kinakusumbua?
 
Which football metrics rank football clubs based on social media following πŸ˜‚
Kijana Why usitafute Rank ya Simba vs your clubs.

Kumbe ni poyoyo tu.

Unajua kua na 7m followers sio mchezo, club ikiweka Tangazo hapo linaona na Watu wangapi,

Baadae mnalete kelele eti sijui collect ksh 1m a match, ukute hiyo pesa Simba anaitengeneza Social Media tu bila kugusa popote.

Kama huoni Ukubwa wa Club kupitia fan Engagement in Social Media utakua na matatizo
 
Acha ufala na chuki zisizo sababu.. watanzania ni watu wamitandao na ndio maana unaona watu wetu maarufu wako na followers wengi kuliko watu wenu marufu au medias, hii inaonyesha internet access ya bongo is bigger than anywhere in EA.
Mzee usibishane nae sana wewe mwambie aingie huko Kwa Simba Page aangalie all followers kwenye profiles zao.

Kunyans ni wapuuzi yaani unaona kabisa Mashabiki.hawana hata jezi za Timu Derby wanavaa mpaka za Tz, Na Kenya ina mashabiki wa Yanga kabisa.
 
Sijajua ni kwnn tff wanang'ang'ania makocha wa kiarabu, mara Algeria mara Morocco, hii yote ni kukimbia gharama, kwnn wasichukue makocha bora ambao wamefanya vzr ulaya huko?
Shida kabisa mimi naona Madogo wanakosa confidence unakuta kocha mwenyewe hata alipokua Club CAF alikua anapigwa 7-0, akaona kawaida.

Yaani upuuzi Mimi nataka Kocha ambaye amewahi toboa hatua kadhaa hivyo anakua na confidence anajua figisu ili na madogo wajiamini


Why walimtimua Paulsen?

Hata taifa Star yale yale. Lete Kocha ambaye amewahi pigana soka la kueleweka.

Not Gonna Lie nawakubali Kenya kwa kwenda kwa McCarthy hapo unaona jamaa anapush haridhiki na ujinga.
 
Wewe ni kichaa nmekupa mfano wa Brazil kwa sababu ndiyo kielelezo cha soka duniani, kama talent matters mbona wanamtaka kocha ambaye si mzawa, unadhani hiyo inamaanisha nn!? Nadhani nimekutafunia ili uelewe cz uwezo wako mdogo sn wa kupambanua mambo.
Bongolala, Brazil has had so many Brazilian coaches, born and bread. Unasema Brazil ni kielelezo Cha soka duniani and at the same time looking for foreign coaches. Doesn't that sound conflicting to you? I told you talent is what matters in football, not coaching team. Taifa Stars yenu hata ipate Pep Guardiolla ama Jose Mourinho, haiwezienda popote coz hamna talent. Umesikia kijana wa Tandale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…