Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera is only a poster child campaign tool for the NGOs and charities for fundraising. You will be shocked to learn that most Kibera folks earn much more than your average Tanzanians. Most Kenyans are out in cities to make money and develop their rural homes and not necessarily settle permanently in places like kibera

Acha matani mura.
 
This bongo folks believe that only gigantic brick and mortar types of development as they are wont to believe is progress. No,it starts with the people!

Nyie ndo mnaliona hilo leo? Wakati sisi tunaondoa ukabila na kusisitiza umoja nyie mlikuwa wapi? Wakati tunajenga utaifa na kutumia lugha ya kiswahili unafikiri tulikuwa tunacheza chakacha?

Tulikuwa tunawekeza maendeleo kwa watu na sasa tunaleta maendeleo kwenye vitu. Nyinyi kwa viongozi wenu kutokuwa weledi, mkaanza kujibomoa kwa kujenga matabaka na ukabila. Huwezi kutufundisha jambo tulilofuzu.
 
Stop comparing Nairobi with Rubbish city..... Am a Kenyan and currently am In Dar es Salaam ......ati watu wanasema vyuma vimekaza......
.
Welcome to the party! Here we'll take you to church... if you pretend to know it all, we will strangle your neck.
 
Iran
Pop : 81m
Gdp 2017 : $ 427Bn
Exports 2016 : $ 31Bn
Gdp/Capita 2017 : $ 5,250
Gdp Growth : 3.5%

Saudi Arabia
Pop : 32m
Gdp 2017 : $ 678Bn
Exports 2016 : $ 182Bn
Gdp/Capita 2017 : $ 20,960
Gdp Growth 2017 : 0.1%
 
yoh that tz stadium is fine....everyone knows that mennn...but veryon also knows that the sun revolves around Kenya in EA
waelesze wenzako sasa mbona macho yao hayataki kuamini wanahisi huo uwanja europe😀😀😀
 
waelesze wenzako sasa mbona macho yao hayataki kuamini wanahisi huo uwanja europe😀😀😀
Europe??? dont push your luck bro....SA, Gabon, Tunisia stadiums are better than this one...sema its the best looking in East Africa...but not for long
 
airports zinakaa kama vibanda za mama mboga...infact hata afadhali vibanda za mama mboga kisha naskia mtu akisema maendeleo😀😀😀maendeleo gani?😀😀😀
najua maendeleo umeyaona ila unaamu kutoamini tu 😀😀😀😀😀😀😀
 
Europe??? dont push your luck bro....SA, Gabon, Tunisia stadiums are better than this one...sema its the best looking in East Africa...but not for long
waeleze wenzako tena sema in east and central africa maana hakuna kama huo😀😀😀😀 na hio ndio moja ya maendeleo😛😛😛😛
 
Stop comparing Nairobi with Rubbish city..... Am a Kenyan and currently am In Dar es Salaam ......ati watu wanasema vyuma vimekaza......
😀😀😀😀😀 kweli vyuma vimekaza mkenya nae anadanganya ulimwengu kua yupo dar😛😛
 
Acha kuchokoza mahesabu ya uchumi usiyoweza kuyajengea hoja, utadhalilika na utakimbia bure. GDP haina maana yoyote zaidi ya kuchukua pato kuu la taifa na kugawanya kwa idadi ya watu, bila kujali ilo pato kama kweli linawafikia wananchi, leo hii Bill Gate na akiamua kwenda kuishi Malawi na mali zake zote, kwa mahesabu ya GDP kila mwananchi wa Malawi atahesabika kipato chake ni $2,000 over one night, does it reflect the reality?
sio kila kitu lazima utoe povu. hio ilikuwa ni 'by the way' tu. we soma uelimike upite wima
 
Back
Top Bottom