Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwanini zisitengeneze faida hasabaada kuwa wakopeshaji wakubwa w serikali. faida kubwa inatokana kuikopesha serikali ya kenya na sio kwa sababu ya kuwa na fisca policy nzuri
Naona after kukupea somo Jana ulielimika🤣😂😂.

In short ni wakenya ndio wanakopesha serikali through the banks. Without Kenyans depositing their money where will those banks find funds to loan the government?
 
Naona after kukupea somo Jana ulielimika🤣😂😂.

In short ni wakenya ndio wanakopesha serikali through the banks. Without Kenyans depositing their money where will those banks find funds to loan the government?
which banks ?
 
Blood banks.
tafuta TRADE AND DEVELOPMENT BANK OF AFRICA kwenye list of kenyan registered bnks zinazotambulika CENTRAL BANK OF KENYA hapo. ukiipata njoo nikupe 1mil ksh.
ndo maana tuwambiaaga hamnaga akili ili benki itambulike kuwa ni ya nchi fulani lazima iwe registre kufanya kazi katika nchi husika na inakuwa controlled n Central bank ya nchi husika. kuwa na regional office sio kuwa ndo mnaimiliki na kmwe no individual keya have accpounts to that bank.
 

Attachments

Mbona hukuongea kabla kama kweli una balls 🤣🤣🤣🤣
Btw, kesi ya Tanzania Vs Morocco haiwahusu, ile ilikuwa mechi ya wana afcon, tulikuwa tunapimana uwezo sisi afcon regular qualifiers.
Kujiliwaza rukhsa
 
Hata 10 bob ndio huna, hiyo 1M maybe utapata after umekufa.
 
Mbona nivuke Athi River? Unataka nivuke Athi River nikienda wapi? Just no that nimekushinda na pesa.
Ukiwa na hela utajua umuhimu wa kutembea sasa hivi huna hata hiyo hela huwezi ona umuhimu wa kutembea .
Maaana chakula tu huna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…