Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupe maoni yako kaka, unaionaje hii?
Hii haina jinsi na hata kama wa kulaumiwa ni Nyerere as hii project haikuwa na any positive economic impact kwa nchi zote mbili zaidi ya kuitoa Zambia kutoka kwenye bandari ya Makaburu ili tuwe partner jkwenye ile project ya ukombozi.

Wachina walikuwa masikini sana na hii ilikuwa jambo kubwa sana kwa wakifanya bila ya kupata chochote na ni monumental project kwao.
 
And I said in Tanganyikans' view no city can relate. This is just Westlands alone. Show me any city with such a view outside the CBD ndio utuambie hiyo keleleView attachment 3278037
Achana na hayo mambo ya kitoto hata Burundi anafanya, maumivu mengine haya hapa 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
downloadfile-7.jpg
downloadfile-7.jpg
downloadfile-8.jpg
 
Miradi yenu in general ni miradi ya few million dollars, hasa hizi apartments za less than $10M. Huwezi fananisha na miradi yetu mingi ya billions of dollars.

Mpaka sasa mradi wenu mkubwa under construction ni Talanta Stadium ambao ni not more than $250M.
Hiyo ni fact na sio opinion, kama wanabisha waje na evidence.
 
asante kwa kubadilisha gear angani 😂😂

ndio maana munaburuzwa kwa uwongo kila siku, inamaana kenya so far hamuna mradi wa maana zaidi ya talanta ambayo ni PPP ya mchina ???? 😂😂😂
We have so many of these projects we can barely keep track.
Na zote ni kubwa kuliko your biggest.
 
Back
Top Bottom